Estar Bulaya aachiwa huru

Estar Bulaya aachiwa huru

Sina neno ila Rais anatwanga maji kwenye knu kama ana mpango wa kupunguza matumz yasio yalazma bado wanaendelea kufanya upumbavu kama huu napata waswas na akl za hao viongoz
 
Duh! Nilidhani kuna mtu alikuwa anachukua kwa jina lake kumbe ni yeye mwenyewe? Wonders shall never end mkuu
Ndio yeye. Mpaka mwezi uliopita kaingiziwa mshahara. Magu kashindwa kumchana kwenye kamera (wote tunajua ni kwanini)
 
Nimefuatili kosa la Ester Bulaya eti alifanya fujo kwenye kituo cha polisi Bunda mwaka jana mlalamikaji ni steven Wassira


uyu mzee wamtaftie kazi tu yaelekea upweke wa kukaa bila kazi ndo unamsumbua
 
Kwahiyo ule aliyeuwangusha ni karumanzira?

Haha ha ha we acha tu kumshika makalio zimwi kuu alie kuwa anasinzia sinzia hiyo revenge yake inabidi ukae sawa maana atakuwa haamini kama amehamishwa kwenye makazi yake atakuwa anarudirudi mpaka akubali matokeo itamchukua muda.
 
no...pale alipofikishwa ofisi za bunge lazima awe aliambiwa...lazima pia yeye anajua ana mvutano gani na ofisi ya spika....tuache kulalamika tu...tujue alikamatwa kwa kosa gani?
Kulikuwa na umuhimu gani mpaka kwenda kumkamata usiku wa manani wakati Ester alikuwa anaonekana muda wato wa mchana?.Hata kama kulikuwa na amri ya kumkamata wangemkamata mchana na siyo usiku.
 
Hii nchi ipo siku tutaheshimiana tu
Ikimbukwe kumtesa mtu sio kumfanya awe mpole anatafuta njia ya kupata haki yake kwa namna yoyote ile.
 
Tunaposema serekali hii niyamaigizo na mazingaombwe tunaimanisha


Kwa Level ya Bulaya kulikuwa hakuna sababu ya kumkamata kama gaidi...


Wangempigia simu naamini angeenda kwa gharama zake na kurudi kwa gharama zake.


Akili za #Ndugai ni sawa na za Mtoto....
 
niko serious nahitaji kujua kosa alilokuwa charged nalo...so hizo rhetorics

Kweli bado sijafahamu mara ya mwisho alikuwa na kesi na Wasira.
Sasa hii ya spika sijui ni nini inawawezekana kuna bifu la muda mrefu tutapata muda si mrefu ishu yenyewe .
 
Kwa Level ya Bulaya kulikuwa hakuna sababu ya kumkamata kama gaidi...


Wangempigia simu naamini angeenda kwa gharama zake na kurudi kwa gharama zake.


Akili za #Ndugai ni sawa na za Mtoto....
Ndio maana nawauliza hawa wacheza maigizo hizi garama ni mtanzania alipe?
 
Haki inapiganiwa.Bravo Ester.Hiyo ndo another side ya ccm.Utazoea tu kamanda
 
Ni hivi issue ya kukamatwa Ester Bulaya, mwaka jana kuna wafuasi wa Ester Bulaya walifikishwa kituo cyha polisi Bunda Mheshimiwa akafuatilia wafuasi wake kukawa na majibizano kati ya polisi na Mh Bulaya , Polisi kama kwaida yao wakadai kafanya fujo kituoni wakataka kumweka ndani lakini wakasema kampeni zikiisha ajipeleke mwenyewe Mh Bulaya hajaenda hadi leo SEVEN WASSIRA akaenda kukumbishia hiyo kesi Polisi ndipo wakamwambia hawajuo mtuhumiwa alipo wakamwuliza spika ndipo spika huyo akakurupuka kumwita mh Bulaya akapamane na kesi yake , sababu ni hiyo
 
Back
Top Bottom