Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Ccm haifai kwenye mvua wala juaKumbe walimleta dar, jamani mama zetu wanadhalilishwa sana, wakina mama msiwe mnawapigia kura ccm mnaona vitendo vyao
Mimi naona dalili mbaya kwa Magu maana anaamini sana katika nguvu ya vyombo vya dola na mbaya zaidi anatengeneza mazingira ya kila mwenye nyundo kugonga kila msumari utakaojitokeza mbele yake bila kujua kwa lengo lipi?tofauti ya magu na jk ni fukuza fukuza tu.
Kama kawaida ni figisu figisu za ccmSababu gani za kumshika?
Tulia! Una hoja nzuri lakini umeiharibu kwa statement ya mwisho na kuondoa maana nzima.WAPI HAKI ZA BINADMU, WAPI WANAHARAKATI, WAPI TAMWA, WAPI TAULA, WAPI LHRC, WAPI KIBAMBA, WAPI, NYA, WAPI BISIMBA, WAPI VIONGOZI WA DINI?? DEMOKRASIA IKO WAPI? MBONA HATUONI MATAMKO WALA MAANDAMANO? AU KWA VILE NI AWAMU YA WA DINI YETU? YULE TULIKUWA TUNAMFANYIA MAANDAMANO NA KUMSUMBUA KWA VILE HAKUWA WA DINI YETU?
Ccm inajichimbia kaburi lake lenyeweKwa kweli gharama ya kufifisha demokrasia ni kubwa kuliko kutumbua majipu.
Serikali hii isifikiri itapata uungwaji mkono mkubwa kwa kutumbua majipu huku ikibinya uhuru wa watu!
Weusi siyo hoja ndio Africa yenyewe ukurunzinza wa ccm ndio tatizoKweli kuwa mpinzani inahitaji moyo ,Dada wa watu anazidi tu kuwa mweusi ,
si niliwaambia?tofauti ya magu na jk ni fukuza fukuza tu.
Mkuu sijui umenielewa ,sijasema sio mweusi ila mateso ya ccm kwa upinzani yamembadilisha sanaWeusi siyo hoja ndio Africa yenyewe ukurunzinza wa ccm ndio tatizo
Hapa ni hakuna kulala mpaka kielewekeDon't give up Ester.