Nimekupata ccm niwanyama sanaMkuu sijui umenielewa ,sijasema sio mweusi ila mateso ya ccm kwa upinzani yamembadilisha sana
Umewaza mbali! Ni wazo zuri.Atakua kawekewa kinasa sauti bila kujua,
Usalama chadema fanyeni kazi yenu
Chadema tupo makini kuliko mnavyodhaniaAtakua kawekewa kinasa sauti bila kujua,
Usalama chadema fanyeni kazi yenu
WAPI HAKI ZA BINADMU, WAPI WANAHARAKATI, WAPI TAMWA, WAPI TAULA, WAPI LHRC, WAPI KIBAMBA, WAPI, NYA, WAPI BISIMBA, WAPI VIONGOZI WA DINI?? DEMOKRASIA IKO WAPI? MBONA HATUONI MATAMKO WALA MAANDAMANO? AU KWA VILE NI AWAMU YA WA DINI YETU? YULE TULIKUWA TUNAMFANYIA MAANDAMANO NA KUMSUMBUA KWA VILE HAKUWA WA DINI YETU?
Uhuru lazima ubinywe maana Watu wengi walikuwa huru Na hawakuutendea haki.Sasa wote LAZIMA tunyooke tu hamna njia.Kwa kweli gharama ya kufifisha demokrasia ni kubwa kuliko kutumbua majipu.
Serikali hii isifikiri itapata uungwaji mkono mkubwa kwa kutumbua majipu huku ikibinya uhuru wa watu!
Hueleweki unatetea ccm? Au haki? Au diniWAPI HAKI ZA BINADMU, WAPI WANAHARAKATI, WAPI TAMWA, WAPI TAULA, WAPI LHRC, WAPI KIBAMBA, WAPI, NYA, WAPI BISIMBA, WAPI VIONGOZI WA DINI?? DEMOKRASIA IKO WAPI? MBONA HATUONI MATAMKO WALA MAANDAMANO? AU KWA VILE NI AWAMU YA WA DINI YETU? YULE TULIKUWA TUNAMFANYIA MAANDAMANO NA KUMSUMBUA KWA VILE HAKUWA WA DINI YETU?
Wacha UDINI weyeingekuwa rais ni muislamu ungesikia matamko ya mababa paroko hadi muda huu wapo kimya
hasa suala la zanzibar angeshinda mkristo halafu muislam hatak kuachia ungesikia matamko ya wanafiki mala ooo gaidi umeya jiji la dar maparoko kimyaaaaaa kwakuwa nchi ipo chini ya mkristo mana ni wazee wa matamko
aliyekuwa akihamasisha asichaguliwe rais kutoka cuf leo ni wazir wa magu unategemea kuna haki apo?
Tunaposema serekali hii niyamaigizo na mazingaombwe tunaimanishaMATUMIZI MABAYA YA STATE
RESOURCES.
Unamkamata Bulaya Mwanza
unatumia mafuta ya serikali
na polisi pia nauli ya ndege
kumpeleka dar halafu
unamfikisha anaachiwa!!!!
Ndugai, polisi na ccm ni
majipu.
#Eti wanabana matumizi.
Endeleni na Maigizo lakini Watanzania siyo wajingaMjanja kanaswa acha akome hana Jipya hata huko Bunda taabu
Wakifanya makosa na wakamatwe tu....hivi kwanini hawakumpga hata makofi aiseee ningefurahiiii maana nisivyowapenda chadema.WAPI HAKI ZA BINADMU, WAPI WANAHARAKATI, WAPI TAMWA, WAPI TAULA, WAPI LHRC, WAPI KIBAMBA, WAPI, NYA, WAPI BISIMBA, WAPI VIONGOZI WA DINI?? DEMOKRASIA IKO WAPI? MBONA HATUONI MATAMKO WALA MAANDAMANO? AU KWA VILE NI AWAMU YA WA DINI YETU? YULE TULIKUWA TUNAMFANYIA MAANDAMANO NA KUMSUMBUA KWA VILE HAKUWA WA DINI YETU?
upandee huu unakatwazwa udiniWacha UDINI weye