Estar Bulaya aachiwa huru

Estar Bulaya aachiwa huru

Ni hivi issue ya kukamatwa Ester Bulaya, mwaka jana kuna wafuasi wa Ester Bulaya walifikishwa kituo cyha polisi Bunda Mheshimiwa akafuatilia wafuasi wake kukawa na majibizano kati ya polisi na Mh Bulaya , Polisi kama kwaida yao wakadai kafanya fujo kituoni wakataka kumweka ndani lakini wakasema kampeni zikiisha ajipeleke mwenyewe Mh Bulaya hajaenda hadi leo SEVEN WASSIRA akaenda kukumbishia hiyo kesi Polisi ndipo wakamwambia hawajuo mtuhumiwa alipo wakamwuliza spika ndipo spika huyo akakurupuka kumwita mh Bulaya akapamane na kesi yake , sababu ni hiyo
Spekar ametoka wapi hapo na spekar na mambo ya polisi ni wapi na wapi
 
Hilo ndilo jeshi la Polisi.. Wanatumia nguvu kuliko akili

1. Walimkamata Mbowe Dar... Wakakodisha ndege kumpeleka Arusha kama Jasusi.... Baada ya kumfikisha Arusha akaachiwa.

2. Walimkamata Kilewo na kumpeleka Tabora kama gaidi.. Mwisho wa siku walimuachia baada ya kuonekana ni upuuzi.

3. Walikodisha Helkopta kumbeba Shekhe Ponda Dar to Morogoro.... Mwisho ilionekana ni ujinga.. Wakamuachia.

Lini jeshi la Polisi watatumia akili kulilo hivi sasa wanapofanya ujinga wa wazi wazi.
 
kwa ujinga huu wa leo kuna haja ya kuangalia muundo wa jeshi la polis na watoa amri wengine. gharama hizi zisizo za lazima zaweza kuzuilika.....
 
Hilo ndilo jeshi la Polisi.. Wanatumia nguvu kuliko akili

1. Walimkamata Mbowe Dar... Wakakodisha ndege kumpeleka Arusha kama Jasusi.... Baada ya kumfikisha Arusha akaachiwa.

2. Walimkamata Kilewo na kumpeleka Tabora kama gaidi.. Mwisho wa siku walimuachia baada ya kuonekana ni upuuzi.

3. Walikodisha Helkopta kumbeba Shekhe Ponda Dar to Morogoro.... Mwisho ilionekana ni ujinga.. Wakamuachia.

Lini jeshi la Polisi watatumia akili kulilo hivi sasa wanapofanya ujinga wa wazi wazi.
 
Sitaki kusema chochote ILA ninahisi kama hii Ni njama za kuwauwa
 
Ni hivi issue ya kukamatwa Ester Bulaya, mwaka jana kuna wafuasi wa Ester Bulaya walifikishwa kituo cyha polisi Bunda Mheshimiwa akafuatilia wafuasi wake kukawa na majibizano kati ya polisi na Mh Bulaya , Polisi kama kwaida yao wakadai kafanya fujo kituoni wakataka kumweka ndani lakini wakasema kampeni zikiisha ajipeleke mwenyewe Mh Bulaya hajaenda hadi leo SEVEN WASSIRA akaenda kukumbishia hiyo kesi Polisi ndipo wakamwambia hawajuo mtuhumiwa alipo wakamwuliza spika ndipo spika huyo akakurupuka kumwita mh Bulaya akapamane na kesi yake , sababu ni hiyo
mbona sababu ya kijinga hvyo??
 
WAPI HAKI ZA BINADMU, WAPI WANAHARAKATI, WAPI TAMWA, WAPI TAULA, WAPI LHRC, WAPI KIBAMBA, WAPI, NYA, WAPI BISIMBA, WAPI VIONGOZI WA DINI?? DEMOKRASIA IKO WAPI? MBONA HATUONI MATAMKO WALA MAANDAMANO? AU KWA VILE NI AWAMU YA WA DINI YETU? YULE TULIKUWA TUNAMFANYIA MAANDAMANO NA KUMSUMBUA KWA VILE HAKUWA WA DINI YETU?
Ktk waropokaji basi wewe unajitahidi. Sasa dini inaingiaje hapo?NGOs huwa hazifanyi kazi kwa kushinikizwa.
 
Basi mwenyewe hapo kafurahii, maana huwa wanependa sana kukamatwa na polisi halafu wakiachiwa waongee na vyombo vya habari, wakirudi huko wanapongezana kwa kuitana makamanda, hawa ni wa kuwaacha tu tuone kama watakamatana wenyewe.
 
Naona nzi uliyoona kinyesi umewasili
 
Back
Top Bottom