Estar Bulaya aachiwa huru

Estar Bulaya aachiwa huru

hamjibu hili swali wote mnalalamika tu..

kosa la Esther ni nini?
 
Mimi naona dalili mbaya kwa Magu maana anaamini sana katika nguvu ya vyombo vya dola na mbaya zaidi anatengeneza mazingira ya kila mwenye nyundo kugonga kila msumari utakaojitokeza mbele yake bila kujua kwa lengo lipi?
duh. mkuu umenena muhimu sana. binafsi. nimekuwa nawazia hii tumbua tumbua ya magu haina dalili njema kwake hata kidogo. MUDA UNAJONGEA TUWE WENYE SUBIRA
 
Huwa nacheka nikikumbuka yule
Babu mtabiri wa ccm aliye tabiri
Chadema itakufa kabla ya
Uchaguzi mkuu wa 2015
Badala yake Chadema imemua
Yeye mwenyewe.
 
kwani kafanya nini huyu binti na muheshimiwa mzuri kabisa wa akili na sura.

matumiizi ya nguvu sana ni product ya kushindwa sana kiakili.

mfano: kumtumia binti kama mdee kikosi utadhani wanaenda kukamata komando aliyeasi ni missuse ya kodi zetu
 
MKUU HAWATAKAA WAKUPE JIBU MAANA HAWANA HAWA WAZEE WAKUSIGINA KATIBA
no...pale alipofikishwa ofisi za bunge lazima awe aliambiwa...lazima pia yeye anajua ana mvutano gani na ofisi ya spika....tuache kulalamika tu...tujue alikamatwa kwa kosa gani?
 
kwani kafanya nini huyu binti na muheshimiwa mzuri kabisa wa akili na sura.

matumiizi ya nguvu sana ni product ya kushindwa sana kiakili.

mfano: kumtumia binti kama mdee kikosi utadhani wanaenda kukamata komando aliyeasi ni missuse ya kodi zetu
Leo piga simu polisi kunatatizo mpaka upate msada ni shuguli lakini wakisikia chadema duu
 
amefanya fujo na kujeruhi wapi?


QUOTE="Wakuacha, post: 15550822, member: 290149"]Kufanya fujo na kujeruhi.....[/QUOTE]
wa
 
Mh Estar bulaya mbunge wa bunda akiwa kwenye office ndogo za bunge jiji daresalam baada yakuachiwa huru na mda huu anaelekea airport kwa ajiri ya safari yakwenda mwanza kwenye kikao cha kamati kuu..
ccm bila polisi ni dhaifu kuliko chochote .
 
MAGUFULI mwaka huu ataua viongozi wengi.
Huyu aliyeanguka chini ni mkuu wa wilaya ya Moshi mjini akienda kukagua mashamba ya mpunga!!
 

Attachments

  • 1457797844878.jpg
    1457797844878.jpg
    65.2 KB · Views: 35
Back
Top Bottom