Achana huyo Mwarabu koko wa Igunga !Umekasirika kusikia Esmail Qaani yuko hai??
Historia ya "Kutoweka": Hii si mara ya kwanza mahali alipo Qaani kuhojiwa. Mwishoni mwa mwaka 2024 na katikati ya mwaka 2025, aliripotiwa vilevile kuwa amekufa au amekamatwa, lakini baadaye alijitokeza tena baada ya wiki kadhaa katika matukio na kwenye televisheni ya taifa mjini Tehran.Sio ya kweli hii.
Namaanisha sio kweli kwamba yupo Israel. Huyo mtu mkubwa hawezi kutoroka Iran kirahisi. Inasemekana IRGC wamemkamata na yupo chini ya ulinziHistoria ya "Kutoweka": Hii si mara ya kwanza mahali alipo Qaani kuhojiwa. Mwishoni mwa mwaka 2024 na katikati ya mwaka 2025, aliripotiwa vilevile kuwa amekufa au amekamatwa, lakini baadaye alijitokeza tena baada ya wiki kadhaa katika matukio na kwenye televisheni ya taifa mjini Tehran.
Kwanza inawezekana huyu siye traitor ila waisrael wamemtengenezea story (kafanywa red herring) huku traitors (double agents) wenyewe wapo wanapeta. Mashirika ya ya kijasusi huwa yana vitengo vya disinformation (sio sawa na misinformation) na hutoa hadithi kama hizi ku-mislead maadui.View attachment 3554085
Esmail Qaani Yuko Hai Israel: Siri ya Usaliti Mkubwa Mashariki ya Kati
Ripoti za kijasusi zimeibua tetesi nzito zikidai kuwa Esmail Qaani, mkuu wa Kikosi cha Quds, yuko hai nchini Israel baada ya kutoroka Iran kwa siri. Inadaiwa Qaani alishiriki kikamilifu kutoa ramani na siri zilizopelekea kuuawa kwa Ismail Haniyeh kule Tehran, Hassan Nasrallah kule Lebanon, na viongozi wengine waandamizi wa Hezbollah.
Habari hizo zinadai kuwa Qaani alipanga njama za ndani dhidi ya Ayatollah Khamenei kabla ya kutoroka kupitia mpaka wa siri. Inasemekana sasa anahifadhiwa na Mossad nchini Israel kama shahidi mkuu, huku akitoa siri za kijeshi za Iran baada ya kuona mfumo wa uongozi wa Tehran ukitetereka
siyo mwananyamala kwa mama zena, kwa akina kidawa wa maandamano ya wakatoliki?Tupe "Real News" lakini isiwe ya kutoka masjid ubwabwa Mwananyamala kwa Kopa.
Hizi taarifa kinzani ndiyo zinathibitisha kiwa huyu GWIJI bado yuko hai na halamatiki.Namaanisha sio kweli kwamba yupo Israel. Huyo mtu mkubwa hawezi kutoroka Iran kirahisi. Inasemekana IRGC wamemkamata na yupo chini ya ulinzi
Anyway, ukweli utajulikana ila vyanzo vingine vinasema amekamatwa.Hizi taarifa kinzani ndiyo zinathibitisha kiwa huyu GWIJI bado yuko hai na halamatiki.
Kuna chanzo kinasema alinyongwa na Serikali, kingine kinasema aliuliwa na askari wa kikosi chake. Ila ukweli huyu MOSSAD agent kamaliza assignment yake na karudi Tel Aviv kwa majukumu mengine
Hahaha 😂.Mm kila nikisikia kuna kobaz amenyolewa Lazima nipige nyeto kushukuru
Kweli wakufaulu sana kumpandikizaView attachment 3554085
Esmail Qaani Yuko Hai Israel: Siri ya Usaliti Mkubwa Mashariki ya Kati
Ripoti za kijasusi zimeibua tetesi nzito zikidai kuwa Esmail Qaani, mkuu wa Kikosi cha Quds, yuko hai nchini Israel baada ya kutoroka Iran kwa siri. Inadaiwa Qaani alishiriki kikamilifu kutoa ramani na siri zilizopelekea kuuawa kwa Ismail Haniyeh kule Tehran, Hassan Nasrallah kule Lebanon, na viongozi wengine waandamizi wa Hezbollah.
Habari hizo zinadai kuwa Qaani alipanga njama za ndani dhidi ya Ayatollah Khamenei kabla ya kutoroka kupitia mpaka wa siri. Inasemekana sasa anahifadhiwa na Mossad nchini Israel kama shahidi mkuu, huku akitoa siri za kijeshi za Iran baada ya kuona mfumo wa uongozi wa Tehran ukitetereka
Kwenye Uislamu, ukibadili dini kutoka Uislamu kwenda dini nyingine, bc ww n msaliti na unapaswa kuuawa 😂Traitor sio? Kwa kule Iran adhabu ni kifo tu
Huyu gwiji bado yuko hai![]()
Esmail Qaani - Wikipedia
en.wikipedia.org