Vipi una maoni gani leo? Punguza ujuajiTupe "Real News" lakini isiwe ya kutoka masjid ubwabwa Mwananyamala kwa Kopa.
Trump kaongeza muda wa kusitisha vita baada ya muda wa awali kuelekea Ukomo, japo bado Iran amegomea matakwa ya Marekani.Vipi una maoni gani leo? Punguza ujuaji
Halafu likatumwa b52 kwenda kuharibu na bado likashindwaSana. Kuna mdada mwingine akiitwa Sarah Perez, ndiye aliyechomesha zile nuclear enrichment sites. Walipomgundua akateleza naye yuko Israel