Duuh poleni...
Na wewe pia pole kwa kukubali kuwa mmoja wa watu walio kwenye mkesha huu wa Escrow hapo ulipo.
halali mtu hapa, tupo pamoja makamanda
Mpaka unashikwa na huruma hawa wanalala maeneo ya bunge kwa usalama wao.
Waliopo kitanzini ndio kwanza wamelala na si ajabu wengine wamedozi kwa michepuko...
Mbona Yeriko Nyerere kafungua thread akisema wabunge wote wa ccm waliopo PAC wanahojiwa na chama usiku huu so nashangaa kumuona filikunjombe yupo viwanja vya bunge usiku wote.