My Journey to start Marathon with JF

My Journey to start Marathon with JF

The mission 2017

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
6,179
Reaction score
14,046
Heshima kwenu wakuu, Itifaki na izingatiwe.

Iko hvi, kwa muda mrefu nimekua natamani uwezo wa kukimbia atleast 10KM kwa pace nzuri.

Sasa jana nimeanza vizuri tu, easy running kwa 4.14KM kwa pace ya 07:25min/KM.

Sasa leo nikawa na aim nifike 5KM lkn naona pumzi imekataa kabisa 😂 tuwaone tu akina Simbu wanapewa tuzo Marathon sio rahisi pia.

Japo hakijaharibika kitu, kesho tena niko Barabarani, mpaka kieleweke.

Nikifika 10KM nitasimama hapo nianze traning kwa ajili ya kupanda Mt. kilimanjaro.

Nataka ninapo sherehekea miaka 30, nisherehekee juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro 😂

Embu ona Chartgpt anavoicheka pace yangu ya leo 😂.

Screenshot_20260523-181738.png
Screenshot_20260523-181800.png
 
Attachments

  • Screenshot_20260523-181830.png
    Screenshot_20260523-181830.png
    431.5 KB · Views: 9
Uzi huu ntakua napost progress zangu taratibu za kuhit 10KM for atleast 1HR.

Baadae ntakua naiboresha pace yangu taratibu.
 
Mission ya 2017 uliimaliza?.

Ni nidhamu na jitihada ndio itakufikisha malengo yako. Usitake na usiwape nafas watu wengine pemben wakushauri kwa kukupa morari au kwa kukuvunja moyo.

Go get it yourself. No matter what.
with or without the audience.
Go get it Done.
 
2017, Iliisha 2021 na ilikua ni degree 😂.

Nway, JF sio real audience napenda kuweka record zangu hapa, miaka 3 mbele hua napenda kurudi kutazama mitazamo yangu ya Nyuma Kuhusu mambo mbali mbali ya maisha.
 
Thats Good. Seems like you are the man of promise.
Then I am here to challenge You.

Consider and set today as a bechmark of what you started.
And be honest and faithfull to yourself and ofcoz Us (the audience).

Share the progress.

See you around the road champ .💪💪💪💪.
 
Maisha yanikimbize halafu na mazoezi yanikimbe hapana kwakweli...😅

Naona Jamaa anapenda challenge. Na ni kitu kizur.

kama ameweza kushare progress na AI. Bas ashare hapa pia. Kuna watu wanakimbia na watatoa stats zao ili yeye ajifananishe na aone how far and how great He real is.
 
Maisha yanikimbize halafu na mazoezi yanikimbize hapana kwakweli...😅

Hahaha, ila siku ukiaanza utaona raha yake.

Mfano ukikimbia ahsubuhi ndo uende kazini, siku nzima unakua mwepesi na productive

Akili na mwili vina respond chapu sana kuliko ukiwa hujakimbia/Fanya zoezi.
 
Naelewa zamani nilikuwa nafanya mazoezi so najua kabisa namna mwili unavyokuwa fit na flexible.. nafikiri baadae nitarudi kwenye enzi yangu ya mazoezi.
 
Distance 5.56KM
Pace 8.06min/KM
Total duration 45.06Min
 
Attachments

  • Screenshot_20260525-145036~2.jpg
    Screenshot_20260525-145036~2.jpg
    53.4 KB · Views: 9
Heshima kwenu wakuu, Itifaki na izingatiwe.

Iko hvi, kwa muda mrefu nimekua natamani uwezo wa kukimbia atleast 10KM kwa pace nzuri.

Sasa jana nimeanza vizuri tu, easy running kwa 4.14KM kwa pace ya 07:25min/KM.

Sasa leo nikawa na aim nifike 5KM lkn naona pumzi imekataa kabisa 😂 tuwaone tu akina Simbu wanapewa tuzo Marathon sio rahisi pia.

Japo hakijaharibika kitu, kesho tena niko Barabarani, mpaka kieleweke.

Nikifika 10KM nitasimama hapo nianze traning kwa ajili ya kupanda Mt. kilimanjaro.

Nataka ninapo sherehekea miaka 30, nisherehekee juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro 😂

Embu ona Chartgpt anavoicheka pace yangu ya leo 😂.

View attachment 3593598View attachment 3593599
Jitahidi kijana. Baba yako hapa nakaribia 50yrs napiga 21km kwa pace ya 6.
10km ndio mazoezi yangu ya kila siku tatu kwa wiki.
 
Jitahidi kijana. Baba yako hapa nakaribia 50yrs napiga 21km kwa pace ya 6.
10km ndio mazoezi yangu ya kila siku tatu kwa wiki.

Hongera sana mkuu,
Pace ya 6 at 50 ni hatari, umejitunza sana.

Naona na mm mwili ushaanza ku relax na mbio Ngoja kwanza nifike 10KM then pace itaka tu.
 
Back
Top Bottom