MAKOSHNELI
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 932
- 1,569
Wakiweka hayo ya stanbic bank ccm inasambaratika karibia wagombea wao wanaotajwa wa urais woote wamo isipokuwa manywele tu
Tena wewe wa kwanza kabisa hahahahah mtafanya watu waogopane jamani. Akitokea mtu ana dawa ya kuficha majina lazima awe tajiri hapa chezea tz na imani za kishirikina
Wakiweka hayo ya stanbic bank ccm inasambaratika karibia wagombea wao wanaotajwa wa urais woote wamo isipokuwa manywele tu
Nimepenyezewa taarifa na mnene mmoja wa Stanbic kuwa Viongozi waandamizi wa Stanbic Bank huko majuu wanakaribia kuchafua tena hewa ya nchi.Waandamizi hao wameagiza kuanikwa kwa majina ya waliochota malumbesa ya fedha za Escrow. Wamewaagiza wakuu wa hapa Tanzania kuhakikisha ifikapo Aprili mosi mwaka huu,majina hayo yawe public pamoja na mihamala yao ili kusafisha taswira ya Stanbic.
Ukisikia kusafisha hapa na kuchafua pale ndio huku.Siombi hilo litokee.Hawa wa Mkombozi Bank aka wa Rugemalira wametuhenyesha hivi.Wa Stanbic itakuwaje? Stanbic Bank,please and please, re-think and re-decide. Tumechoka!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kwenye uzi wangu wa kudai meli yetu Kagera......nilisema tutaitangaza Stanbic kuwa adui mkubwa wa Tanzania.
Tena usiombe ukaota ukiwa umeshiba.?Wewe mburula hizo ni ndoto za mchana; hakuna benki ya kimataifa kama ilivyo Stambic inayotoa taarifa za wateja wake !!!! Ni hizi benki uchwara kama Mkombozi ndio zinaweza kulazimishwa kutoa siri hizo!!!
Stanbic ndio huko kina Mbowe inasemekana walichukulia mgao wao!?
Unangoja nini?
Dada FaizaFoxy statementbya kuitangaza Stanbic kuwa adui wa Tanzania niliiadika kwa Kiingereza....hivyo inawezekana walisoma aunwaliambiwa.
Hongera sana.