Escrow: Stanbic Bank kuchafua hali ya hewa

mkuu unataka kupandisha presha kwa vigogo wa ccm
 
El hayupo katika hii Dili,so lazima atie presha watu waumbuliwe. hapa inabidi wakulu wanegotiate tu,kwani plan ilikuwa kutoliweka jina lake ktk Tano Bora,itabidi wakubali tu kuliweka ili wasiumbuliwe na bazungu.
......
Sina hasira na waliochukua Escrow.ni matokeo ya miaka mingi ya utawala mbovu hii kabla ya Jakaya
 
Hayo ni mawazo yako tena hadithi za paukwa pakawa. Nnani amtaje Mneneee. Walisema, tumbo la mfumwa halihesabiwi finyangi alizoweka ndani. Majina yoote mtataja lakini mahesabu hayata balance. Ni mawzo yangu tu, lakini Eee Mola wetu, usiye kunywa uji ka siye, siku moja tu mashine zao zikosee, ziyafumue majina hayo yaingie kila mtandao mpaka simu za mikononi, bibi yangu kule Kyela asome hilo jina kuu lilikomba ngapi tu. Hatuzitaki tena ila tujue tu mlikomba ngapi basiii
 
Stanbic ndio huko kina Mbowe inasemekana walichukulia mgao wao!?
 
El hayupo katika hii Dili,so lazima atie presha watu waumbuliwe. hapa inabidi wakulu wanegotiate tu,kwani plan ilikuwa kutoliweka jina lake ktk Tano Bora,itabidi wakubali tu kuliweka ili wasiumbuliwe na bazungu.
......
Sina hasira na waliochukua Escrow.ni matokeo ya miaka mingi ya utawala mbovu hii kabla ya Jakaya

Unataka kusema anaetia presha ni Mr Edo????
 
...tuna vitu vingi sana vya kusubiri mwaka huu...bado na yale majina ya wale walioficha ngawila ugaibuni tuliyohaidiwa na yule mwanasheria anayotoa ushauri usio eleweka...
 
Nimepenyezewa taarifa na mnene mmoja wa Stanbic kuwa Viongozi waandamizi wa Stanbic Bank huko majuu wanakaribia kuchafua tena hewa ya nchi.Waandamizi hao wameagiza kuanikwa kwa majina ya waliochota malumbesa ya fedha za Escrow. Wamewaagiza wakuu wa hapa Tanzania kuhakikisha ifikapo Aprili mosi mwaka huu,majina hayo yawe public pamoja na mihamala yao ili kusafisha taswira ya Stanbic.

Ukisikia kusafisha hapa na kuchafua pale ndio huku.Siombi hilo litokee.Hawa wa Mkombozi Bank aka wa Rugemalira wametuhenyesha hivi.Wa Stanbic itakuwaje? Stanbic Bank,please and please, re-think and re-decide. Tumechoka!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Stanbic wamevujisha kwa wafadhili hasa USA ili kulinda credit yake kwao ila kwa hapa bongo si rahisi...

JK heri angeachana na hizi double standards zinamzalilisha Sana mbele ya hawa wazungu coz wanaelewa kila kitu ndio maana wamemkazia Uzi mpaka sasa serikali iko hoi kifedha....

Haiwezekani Tibaijuka na Maswi waondolewe ofisini halafu akina Gurumo wabakie ofisini kwa kesi ile ile...

Siku majina ya Stanbic yakiwekwa hadharani hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.....
 
Puuuuuumba hizo.hebu jaribu kukaa mahali peke yako then tafakari ulichoandika hapa kwa muda na utulivu utapata majibu kuwa hazikutoshi.usiwe na papara kunijibu we jitulize tu.
 
Mungu wangu ntapona mim kweli!,hadi mim mkuu wa kaya mnataka kunianika!!!:-(
 
Stanbic wamevujisha kwa wafadhili hasa USA ili kulinda credit yake kwao ila kwa hapa bongo si rahisi...

JK heri angeachana na hizi double standards zinamzalilisha Sana mbele ya hawa wazungu coz wanaelewa kila kitu ndio maana wamemkazia Uzi mpaka sasa serikali iko hoi kifedha....

Haiwezekani Tibaijuka na Maswi waondolewe ofisini halafu akina Gurumo wabakie ofisini kwa kesi ile ile...

Siku majina ya Stanbic yakiwekwa hadharani hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.....
Kwa hiyo misaada tutaisikia kwa wenzetu tu? Lakini on serious note,inawezekanaje Tibaijuka et all uwatimue halafu hao wenye mapesa kila mfuko wa suruali tena wakiwa wafanyakazi wa Ikulu ufanye kama vile hakuna kitu? Hivi kweli hata hao Wazungu hata kama ndio kuwadanganya kuwa umechukua hatua nani atakuamini?
 
Back
Top Bottom