Escrow: Stanbic Bank kuchafua hali ya hewa

Mimi nilikuwa na akaunti yangu STANBIK ilibidi niifunge mara moja siwezi kufanya dhambi na wezi.Naomba na watanzania wenzangu tuige mfano huo.

Kabisa wabongo ni vizuri wakafunga akaunti zao maana benk inawaficha wezi!!!!
 
Hata Benki hii isipowataja watatajana wenyewe. Ngeleja keshaanza ingawa kwa woga.
 
Hata wakitajwa watanzania ni mazezeta tu. Hakuna jipya hawana hata la kufanya tofaut na Kenya. Itaundwa issue nyingine fasta ya kipuuz na kuisahau hiyo ya stanbic bank. Uzezeta wetu ndo umetufikisha hapo
 
Nimepenyezewa taarifa na mnene mmoja wa Stanbic kuwa Viongozi waandamizi wa Stanbic Bank huko majuu wanakaribia kuchafua tena hewa ya nchi.Waandamizi hao wameagiza kuanikwa kwa majina ya waliochota malumbesa ya fedha za Escrow. Wamewaagiza wakuu wa hapa Tanzania kuhakikisha ifikapo Aprili mosi mwaka huu,majina hayo yawe public pamoja na mihamala yao ili kusafisha taswira ya Stanbic.

Ukisikia kusafisha hapa na kuchafua pale ndio huku.Siombi hilo litokee.Hawa wa Mkombozi Bank aka wa Rugemalira wametuhenyesha hivi.Wa Stanbic itakuwaje? Stanbic Bank,please and please, re-think and re-decide. Tumechoka!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Truth can and will set us free; let truth be told so that as a nation we can have closure over the Tegeta escrow saga and move on.
 
Nimepenyezewa taarifa na mnene mmoja wa Stanbic kuwa Viongozi waandamizi wa Stanbic Bank huko majuu wanakaribia kuchafua tena hewa ya nchi.Waandamizi hao wameagiza kuanikwa kwa majina ya waliochota malumbesa ya fedha za Escrow. Wamewaagiza wakuu wa hapa Tanzania kuhakikisha ifikapo Aprili mosi mwaka huu,majina hayo yawe public pamoja na mihamala yao ili kusafisha taswira ya Stanbic.

Ukisikia kusafisha hapa na kuchafua pale ndio huku.Siombi hilo litokee.Hawa wa Mkombozi Bank aka wa Rugemalira wametuhenyesha hivi.Wa Stanbic itakuwaje? Stanbic Bank,please and please, re-think and re-decide. Tumechoka!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Nauwakika Mpaka jina la fisi litakuwepo
 
Stanbic ndio huko kina Mbowe inasemekana walichukulia mgao wao!?

Kweli Mbowe kamanda! Yaani mpaka serikali ya ccm inajua kachota fedha Stanbic lakini inaogopa kumtaja? Mnabaki tuu na "inasemekana"
 
Kwa nini iwe ni tarehe 01 April?????

Je hii Thread haina uhusiano na SIKUKUU YA WAJINGA?????

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Watajwe tu,tumechoka sasa.Hakuna namna nyingine.

Wewe mburula hizo ni ndoto za mchana; hakuna benki ya kimataifa kama ilivyo Stambic inayotoa taarifa za wateja wake !!!! Ni hizi benki uchwara kama Mkombozi ndio zinaweza kulazimishwa kutoa siri hizo!!!
 
Wapindue tu sinia la wali,kieleweke.................
 
Mimi nilikuwa na akaunti yangu STANBIK ilibidi niifunge mara moja siwezi kufanya dhambi na wezi.Naomba na watanzania wenzangu tuige mfano huo.

Agreed mkuu. Natamani sote tungefanya hivyo. Leo hivi vi backyard bank zisingetuchezea. Nasikiliza Clouds Fm hivi Sasa na kiting Chao change Be Starbucks Smart. Unafiki mtupu hela banaaaa yaani wamepewa fedha basi wanavyo ipamba ujinga mtupu. Wa tz tunauzana Bure tu. Pathetic tch tch tch
 
Ni kweli tutawataja ila naanza na huyu ili mzoee zoee...

JAKAYA MRISHO KIKWETE.......AMOUNT......
 
Nimepenyezewa taarifa na mnene mmoja wa Stanbic kuwa Viongozi waandamizi wa Stanbic Bank huko majuu wanakaribia kuchafua tena hewa ya nchi.Waandamizi hao wameagiza kuanikwa kwa majina ya waliochota malumbesa ya fedha za Escrow. Wamewaagiza wakuu wa hapa Tanzania kuhakikisha ifikapo Aprili mosi mwaka huu,majina hayo yawe public pamoja na mihamala yao ili kusafisha taswira ya Stanbic.

Ukisikia kusafisha hapa na kuchafua pale ndio huku.Siombi hilo litokee.Hawa wa Mkombozi Bank aka wa Rugemalira wametuhenyesha hivi.Wa Stanbic itakuwaje? Stanbic Bank,please and please, re-think and re-decide. Tumechoka!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

tarehe moja ni siku gani vile?
 
Back
Top Bottom