Watanzania tumekuwa na desturi ya kutopenda kusoma na kufanya utafiti, hii imepelekea jamii yetu kupotoshwa sana na wanasiasa. Mfano, skendo ya Richmond tuliambiwa Mh. Edward Lowassa ni fisadi kwani alihusika katika kupata zabuni lakini wanasiasa hao hao leo wanatuambia katika kashfa hio Mh. Lowassa hakuhusika, watanzania tunayumbishwa kwa kuwa hatuna desturi ya kusoma na kufanya utafiti.
Leo hii watanzania tunajiuliza ni kwa nini Mh. Rais John Pombe Magufuli alimteua profesa Sospeter Muhongo kuwa Waziri wa Nishati na Madini? Kwa nini Bunge limemteua Mh. Andrew Chenge kuwa Mwenyekiti wa Bunge, kwa nini Mh. William Ngeleja amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Sheria?
Majibu yapo wazi kabisa Tanzania inajua na dunia nzima inajua, ufisadi wa account ya Escrow ilifanyika kupitia account ya Stanbic bank, mafisadi hawa walichota fedha kama njugu. Lakini hadi Leo hatuwajui ni kina nani? Kwa nini akina Kafulila hawajawataja mafisadi hawa! This is were Escrow stand, Stanbic bank is Escrow saga and Escrow Saga is Stanbic Bank.
Kwa mantiki hio kilicho tokea kupitia Mkombozi Bank ni danganya Toto, kama jukwaa la wasomi/FIKRA huru tunapenda kuwaomba watanzania, tuwaombe radhi Mkombozi Bank na watu wote walio pewa mgao kwani walitolewa kafara bila kujijua.Na watanzania tulivyo wavivu wa kufikiri, tulishindwa kudadavua mbivu na mbichi.
Total ya hela iliyopitia Mkombozi Bank haifiki hata Bilioni 10, tunataka kujua/kuwajuwa walio chota pesa kupitia Stanbic Bank ambayo ni more than 300 billion. Where is our money?
Watanzania kwa pamoja tuombe list ya bank ya stanbic, tunamuomba Mh. Rais atumbue jipu hili.
Escrow kwa upande wa mkombozi bank ni sawa na Richmond yani kashfa ya kutengenezwa ili kuwakomoa watu but the real saga IPO stanbic.
Nategemea kusoma mjadala wa hoja/facts na sio ushabiki.
Tukumbuke wanasiasa walio adhibiwa kupitia kashfa ya escrow account Mh. Rais na Bunge limethibitisha watu hawa ni wasafi na hata Mh. William Ngeleja, Mh. Andrew Chenge na Mh. Anna Tibaijuka walipohojiwa ilidhibitika hawakufanya kosa kwa kuwa walilipa kodi.
Naomba kuwasilisha..........