Ngoja sisi tukae mkao wa kula..sasa kama familia kuu imehusika itakuaje hapa???Hiyo tu ndio tiketi rahisi ya kuingo`oa CCM madarakani Kwa heri Chama chakavu .
Sema tu familia ya Jakaya Kikwete, unaogopa nin?
mkuu wa ikulu nae alilamba? hii balaa itabidi ajiuzulu
Kweli mkuu yatakua wazi tu manake ubaya hauna rafiki na kama upo basi ni wa muda na hasa huzingatia maslahi ila yakiisha unaanikwa mchana wa saa naneKufufuliwa upya sasa kwa kesi ya Anglo leasing ya Kenya miaka zaidi ya kumi tokea ilipoamuliwa kesi ya msingi kunanipa matumaini kuwa haya yanayofukiwa kwenye hizi kesi za kifisadi kuna siku yatafunuliwa...
Amina
Tatizo lako nini haswa?Nimepenyezewa taarifa na mnene mmoja wa Stanbic kuwa Viongozi waandamizi wa Stanbic Bank huko majuu wanakaribia kuchafua tena hewa ya nchi.Waandamizi hao wameagiza kuanikwa kwa majina ya waliochota malumbesa ya fedha za Escrow. Wamewaagiza wakuu wa hapa Tanzania kuhakikisha ifikapo Aprili mosi mwaka huu,majina hayo yawe public pamoja na mihamala yao ili kusafisha taswira ya Stanbic.
Ukisikia kusafisha hapa na kuchafua pale ndio huku.Siombi hilo litokee.Hawa wa Mkombozi Bank aka wa Rugemalira wametuhenyesha hivi.Wa Stanbic itakuwaje? Stanbic Bank,please and please, re-think and re-decide. Tumechoka!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kweli mkuu yatakua wazi tu manake ubaya hauna rafiki na kama upo basi ni wa muda na hasa huzingatia maslahi ila yakiisha unaanikwa mchana wa saa nane
Tena wewe wa kwanza kabisa hahahahah mtafanya watu waogopane jamani. Akitokea mtu ana dawa ya kuficha majina lazima awe tajiri hapa chezea tz na imani za kishirikinaNaomba wasintaje
Mkuu najaribu kuimagine kwa hapa kwetu siku ya namna hiyo ikifika naona kama patakua hapatoshiWaziri wa fedha na viongozi wengine waandamizi wa serikali iliyokuwa ya Moi leo wanasimama kizimbani kujibu tuhuma ambazo wao.walidhani wamefanikiwa kuzifukia miaka 10 iliyopita
Mtasubiri sana.
Tatizo lako nini haswa?
Mkuu najaribu kuimagine kwa hapa kwetu siku ya namna hiyo ikifika naona kama patakua hapatoshi
Mtoa mada ni kama analaumu Stanbic kutaka kutaja majinana wakishindwa kutajana , tutaenda palepale Mwembeyanga .
Kufufuliwa upya sasa kwa kesi ya Anglo leasing ya Kenya miaka zaidi ya kumi tokea ilipoamuliwa kesi ya msingi kunanipa matumaini kuwa haya yanayofukiwa kwenye hizi kesi za kifisadi kuna siku yatafunuliwa...
Amina