Somalia imekua majuu?Nimepenyezewa taarifa na mnene mmoja wa Stanbic kuwa Viongozi waandamizi wa Stanbic Bank huko majuu wanakaribia kuchafua tena hewa ya nchi.Waandamizi hao wameagiza kuanikwa kwa majina ya waliochota malumbesa ya fedha za Escrow. Wamewaagiza wakuu wa hapa Tanzania kuhakikisha ifikapo Aprili mosi mwaka huu,majina hayo yawe public pamoja na mihamala yao ili kusafisha taswira ya Stanbic.
Ukisikia kusafisha hapa na kuchafua pale ndio huku.Siombi hilo litokee.Hawa wa Mkombozi Bank aka wa Rugemalira wametuhenyesha hivi.Wa Stanbic itakuwaje? Stanbic Bank,please and please, re-think and re-decide. Tumechoka!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Nina hofu na trh ya mwisho yaani 1_4 kila mwaka ni ckk ya....... fanyen baadae ama kabla ya hiyo trh maana naogopa ujumbe wa ukweli kuchukuliwa powa
Haya sasa Vuta Nikuvute kazini.
kuna mimtu hapa isipotaja majina flani hapa JF inawashwa nyeto1.Pinda
2.Muhongo
3.Maswi
4.
5.Jakaya family
6.
Maccm kwa Wizi ayajambo
Kufufuliwa upya sasa kwa kesi ya Anglo leasing ya Kenya miaka zaidi ya kumi tokea ilipoamuliwa kesi ya msingi kunanipa matumaini kuwa haya yanayofukiwa kwenye hizi kesi za kifisadi kuna siku yatafunuliwa...
Amina
Nchi imejaa wezi hadi basi. Haiwezekani Benki iliyo chini ya BOT ifanye miamala ya mabilioni ya shilingi bila BOT kuwa aware hizo fedha zimekwenda kwa nani, na wao standbic kutokuweka wazi hizo taarifa, ama kwa law inforcement agents au wananchi.
Jibu jepesi ni kuwa Serikali inayalinda majina ya hao waliofanyiwa hiyo miamala, je, kwa nini serikali iwalinde?
Ukifika hatua hii, unaanza kumuona JK na genge la washkaji zake kama matapeli tapeli flani hivi.
Sema tu familia ya Jakaya Kikwete, unaogopa nin?
Stanbic ndio huko kina Mbowe inasemekana walichukulia mgao wao!?
Tuliowatuma watu je majina yetu lkn hatukuenda cc inakuwaje