Errors in genesis

Errors in genesis

wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli

hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji

mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"

uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)

sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?

mwanzo 1:9-13

Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu

kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae

mwanzo 1:14-19

Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku

lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua

wakristo mnahitajika hapa tafadhali!

Nilifikiri kuwa hii kitu umetoa kichwani mwako mwenyewe, Kumbe ni mawazo ya mtu mwingine Lunatic ZAIDI yako!
Ungekuwa vizuri upstairs usingefanya C&P!
 
I'm totally dumbfounded about this situation
how can an insane person imitate an ideas from lunatic person more than himself?
if you think this is transcript,then give me original copy of it,otherwise you are just mentally deranged as your lord is
 
yap!

in particle accerelators for instance,the tiny particles like electrons often appear to moves above the speed light contrary to second principle of relativity.

but scientific community is still silent on that,as michio kaku said,if relativity is wrong,then this will be the biggest disaster in science because modern day physics emerged from it
Guess what bro some rogue scientists are using the right science secretly but thats a topic for another time.
 
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli

hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji

mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"

uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)

sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?

mwanzo 1:9-13

Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu

kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae

mwanzo 1:14-19

Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku

lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua

wakristo mnahitajika hapa tafadhali!

Je wewe utakufa ukikosa chakula kwa siku MOJA??? It's a matter of scheduling things...
 
Hata Mungu alisema kila amtafutaye kwa bidii atamuona.. Majibu mengi ya maswali magumu ambayo kila binadamu anawaza, either kwa kujiuliza au kumuuliza mwengine ni Mungu ndio anaweza kuyajib.. "ntakuonyesha mambo makuu na magumu usiyoyajua, science ni ya binadamu, ambaye Mungu alisema wanadam Wana utashi wa mavumbuzi mengi, lakn haitakuja hata siku moja utashi wa mavumbuzi ya wanadam ukafikia utashi wa Mungu, maana alisema kabisa anayowaza yeye sio tunayowaza sisi.. Ukifikiria tu mpangilio wa siku ulizoishi duniani u can't prove scientifically kuwa kila tukio ulipanga kulifanya, kwa wakat gani, na nani, imekuawaje mpaka mkafanya na uliyefanya nae, na matokeo yake yaliyopatikana kama uliplay part 100 % kuyafanikisha.. From here utajua hata kama Kuna percent ndogo ya uncertainty ya kuwa na mpangilio ambao hukuusababisha ndivyo hivyo pia Kuna mambo huwezi kuyapambanua kwa akili yetu ndogo, (ya kibinadam) labda upate Msaada wa realm nyengine au wa kiungu
 
wenyewwe wnakuambia ni mpango wa Mungu, YAANI UKIITAFAKARI DINI SANA UTAJUA KUA NDIO UPUMBAVU WA MWIIISHO KABISA, AMBAO UNAIKOST SANA DUNIA

You said it all brother
 
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli

hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji

mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"

uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)

sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?

mwanzo 1:9-13

Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu

kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae

mwanzo 1:14-19

Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku

lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua

wakristo mnahitajika hapa tafadhali!

Yo're emperically very correct but totally wrong spritually. The Biible is full of spritual knowledge which cannot in any way, be proved by using scientific instruments.
 
sikutegemea kama bado kuna watu wanatatizwa na egg-chicken-problem

anyway yai ndiyo kitu cha kwanza kwasababu ya recombination of gene
lakini hapa si mahala pake

kuhusu point yako ya logic,
principle za logic ni universal hakuna ya muumbaji wala ya muumbwa

huwezi kuwa na effect kabla ya cause,hii undeniable fact

hauwezi kupata usiku na mchana,bila ya jua na dunia

ukisema kitabu cha mwanzo kipo logically sahihi,basi utakuwa mistaken kwasababu genesis imelack causal mechanism.
You are talking science faith, not God faith. Remember, they are all faiths.
 
you are quite wrong!

dictionary define "faith" in this way;
faith:belief that is not based on proof.

but in science, theory can never be accepted unless there is proof wich reinforce it

from that maxim,it obvious that there is no faith in science,because science contrary to religions it based on proof and fact
 
Yo're emperically very correct but totally wrong spritually. The Biible is full of spritual knowledge which cannot in any way, be proved by using scientific instruments.

you are correct!

but think this for moment,if something can never be detected in any way,then in principle it doesn't logically exist
so do you still believe that genesis story of creation is not a myth?
 
you are quite wrong!

dictionary define "faith" in this way;
faith:belief that is not based on proof.

but in science, theory can never be accepted unless there is proof wich reinforce it

from that maxim,it obvious that there is no faith in science,because science contrary to religions it based on proof and fact
So you know you cannot find proof in religion. What are you looking for in the bible? What kind of proof are you asking for if you already know there is none?

Take it or leave it. Life goes on.
 
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli

hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji

mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"

uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)

sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?

mwanzo 1:9-13

Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu

kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae

mwanzo 1:14-19

Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku

lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua

wakristo mnahitajika hapa tafadhali!

Mungu
Hachunguziki
 
sikutegemea kama bado kuna watu wanatatizwa na egg-chicken-problem

anyway yai ndiyo kitu cha kwanza kwasababu ya recombination of gene
lakini hapa si mahala pake

kuhusu point yako ya logic,
principle za logic ni universal hakuna ya muumbaji wala ya muumbwa

huwezi kuwa na effect kabla ya cause,hii undeniable fact

hauwezi kupata usiku na mchana,bila ya jua na dunia

ukisema kitabu cha mwanzo kipo logically sahihi,basi utakuwa mistaken kwasababu genesis imelack causal mechanism.
Ungekuwepo wakat dunia inaumbwa ningekuelewa. Kile ambacho unaona kidunia principle kwa Mungu ni kinyume ukitaka kujua mwamini na uombe akuonyeshe majib ya maswali yako lakin sio kutumia principle za waumbwa
 
this is what we call fallacious argument.

biblical narrative has nothing to do with this obvious contradiction

creation of light for instance occur without any source, is this still biblical narrative?..definitely not

this is simple logic,light cannot occur without source,either accelaration of electron or as product of complex reaction in the stars

It's you committing fallacies for you have no idea about how the narratives were gathered and organised and whether what they present is a history of eg creation or a theology of creation. If it's a history then everything recorded follows in a chronological order and if it's a theology, then the chronological order doesn't matter what it matters is the message, which is intended for the addressees. My point is that it's not a history and so the arrangements are not necessarily in a chronological order. In this sense, the logic of history is not the logic of theology.
 
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli

hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji

mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"

uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)

sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?

mwanzo 1:9-13

Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu

kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae

mwanzo 1:14-19

Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku

lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua

wakristo mnahitajika hapa tafadhali!

1. Kitu cha kuiuliza ni: is the bible a history or theology book?
2. Kama ni history book ina maana whatever is recorded happened the way it's recorded.
3. Kama ni theology book ina maana whatever is recorded did not necessarily happen the way it's recorded.
4. I'll explain as you pose questions.
 
Back
Top Bottom