I second you brother,lakini kuna baadhi ya watu wanajifanya vipofu hata kushindwa kuona makosa rahisi kama haya.
I see hizi ishu za kuumbwa kwa ulimwengu si rahisi kueleweka saana.
Ni kweli sayansi inasema kuhusu memea utuamiavyo mwanga wa jua kujitengenezea chakula nk.
Nafirikia pia tuzidi jiuliza na kujifunza zaidi...hata sayansi imeshindwa kuproove shortcut ya kupatikanankwa binadamu.
mfano kama wote twajua binadamu hupatikanaje ni process inayo husiana na mme na mke wakutane na ujauzito utungwe na kulelewa hadi azaliwapo kichasha na kuanza nyonyaa nk.
Waamini twaamini Binadamu aliumbwa ndipo akapewa uwezo wa kuzaa na kwa taratibu zoote. Japo pia ipo nguvu ya Muumba inayoweza fanya chochote pasipo kufuata principles zilizo hakikiwa kisayansi nk.
Katika hali ya kawaida sijui sayansi imeona gundua nini au jibu ya swali hili kati ya Yai na Kuku kipi kimetangulia?!
Waamini wanaendelea amini na kuwa na hakika na wanachoamini kwamba Muumba aliumba wanyama, ndege, wadudu na kila unachokijua na usichokijua...na kisha akaviwekea utaratibu vyenyewe kujiendeleza/kuzaliana pasipo yeye kuhusika moja kwa moja...basi hata hivyo binafsi naamini Kuku ndie alianza umbwa maana hakuna sehemu imeandikwa yai limeumbwa na kisha kuku lah hasha ninavyo amini mimi ni Kuku aliumbwa na akapewa uwezo wa kuzaliana kwa njia hiyo ya kutaga yai na kulitamia kutokoa kisha akaongezeka kwa namna hiyo.
Kibinadamu waweza ona kuna errors (makosa) ila Kiungu hakuna hata chembe ya mashaka...kati ya yai na kuku.
Pana chombo kimetumwa kwenda sayari ya Pluto kinaitwa new horizon kama sikosei nimepata habari hicho kifaa kikipata hitirafu kinajitengeneza chenyewe pasipo msaada wa mwanadamu huenda error ikawa 1% ya kushindwa kijitibu chenyewe. Kumbuka na hiyo ni man made ....vipi kuhusu creater mwenye Mungu Mwenyezi si zaidi ya mwanadamu?!
Mimi sijaona errors yeyote kwenye genesis
Labda inabidi tusome saana maandiko ya awali ya kigiriki au kiebrania maana hizi Biblia siku hizi wanajaribu leta tafsiri nyepesi pasipo kuharibu maana ila pana radha flani hivi inapotea...so jaribu tafuta biblia tofauti kisha soma andiko moja uone ni kwa jinsi gani zinatofautiana.
Maana hata Yesu kristo alizaliwa na Bikria so wapuuzi wana shangaa alibebaje ujauzito huyo mama yake!?
Principles za kibinadama ni sharti kuwepo kwa muingiliano wa mume na mke ndipo ujauzito utokee LAKINI kwa Mungu Muumbaji si lazima afuate kabuni hizo.
Kumbuka Bahari ya sham ilivyotengeneza njia, mwamba kutoa maji, Yesu kutokea ndani ya watu wakiwa wamejifungia ndani (wachawi pia wanaweza hiyo trick)
Na mambo mengi ambayo kutokea kwake ni utategemea kuona kanuni flani zimefuatwa ila kwa BWANA MUNGU anafanya kama apendavyo.
Bado sijaona errors kwene mwanzonwa Ulimwengu...ila maswali ni Mengi twaweza jiuliza...
Panasehemu flani katina Biblia panasomeka hivi;-
Ni utukufu wa Mungu kuficha jambo, na niufahali wa mfalme (wewe na mimi) kuchunguza jambo.
Mithali 25:2
So Mungu ameficha sisi wafalme wacha tuendelee kuchunguza.
Lakini kwingine kuna sema;
29Mambo ya siri ni ya BWANA, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele, ili tuyafanye maneno yote ya sheria hii.KUMBUKUMBU LA TORATI/SHERIA 29:29
Kila lenye heri wadadisi na wachunguza Mambo!!