Errors in genesis

Errors in genesis

unajua wataalam wanasema kusoma sana hupunguza maharifa ndicho nacho kiona

Wataalam ndiyo wamekwambia Hivyo?

Lakini wataalam pia ni wasomi sana,kwa Maana hiyo Basi,Hata wao wenyewe wamepungukiwa na Maarifa

sasa kwanini unawaamini watu waliyo pungukiwa na Maarifa?
 
In Genesis story of Creation,Nothing is Neither Far-fetched nor Extraordinary.
In fact,There is no Need of Modern science to Explain Errors of those Events

Simple classical science Alone is Enough to prove the whole Account Wrong.

So, the story of creation as narrated by the bible isn't true?
 
Ni logic, but u cant apply it simply coz unalinganisha vitu viwili vyenye ideology tofauti. Utabaki kujichanganya na kuona uongo kutokea hapo.
The creator create everything from his own perspective simply coz he z able. First of all remember that himself is a light, and from the very begining universe was lonely and dark.
 
Uumbaji huanzia kwenye mind, mfano wew unaweza sema kesho kutwa nitajenga Banda la kuku lenye madirisha matatu, mlango mkubwa na tiles chini na ilipofika hyo kesho kutwa ukajenga hvo hvo ulivyotaamka, so uumbaji uanzia ndani kwahyo Haina maana cku ambayo mungu alitamka iwe nuru na giza basi vilikuwa siku hyo hyo apo alikuwa anafanya uumbaji na uumbaji unaanzia ndani kwenye mind.
 
Mashambulizi juu ya biblia yameongezeka sana kipindi hiki...ni nini maana yake?!
 
Kwanza ulitakiwa ujiulize na kujua kuwa Mungu Muumba yupo ndani ya dunia au nje?
Kwa maana aliye nje ya dunia hesabu zake za siku haziwezi kuwa sawa na hesabu za dunian.
 
Mkuu mimi binafsi nilishawahi kufanya kazi madhabauni kwa kipindi fulani, hivyo haya mambo yako tofauti sana na wengi wanavyodhani sema ndo hivyo hawaambiliki nabaki nawaangalia tu maana wengi ni wakristo wa jumapili
Umerudi nyuma mrudie Jehovah atakurudia tu.
 
huu uzi una bahati ulianzishwa kipind sijaanza harakat zangu za kupinga dini na kuonesha makosa yake, anyway biblia&quran ni 10% ndyo ukwel, 90% zinazobaki nibstori za uongo za kutungwa, na zingne stori za waganga na wanajimu wa afrika walioibiwa historia yao na kuingizwa ktk vitabu vyao vitukufu na kuwaota watu hao manabii,makuhani, na mitume, but behind the scene hawo hawakuwa tofaut na hawa machief wa kileo mnaowaita washirikina, yaan hao kina musa, samson,ayubu, petro, eliya, walkuwa waganga na machief wa kiafrika, lkn uzush na wivu wa mtu mweupe akachange history kwa kubadr majina na location za matukio yao kwa kuwapa stot za uongo uko baran asia, na middle east...... kuna wale watetez wa dini hawa nikikutana nao lazma wabadr njia maana natumia vitabu vyao kuwaumbua
FB_IMG_16279240221275543.jpg
 
Wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha 'mwanzo' are logically consistent, Hi si kweli

Hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji

Mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza, Mungu akaiita nuru mchana, na giza akaliita usiku"

uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)

sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?

mwanzo 1:9-13

Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu

kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae

mwanzo 1:14-19

Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku

lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua

wakristo mnahitajika
Hata binadamu aliumbwa kwanza ndipo akapuliziwa pumzi ya uhai.
So mmea ulianza ndipo yakafuata mahitaji yake. Usituchanganye bana.
Kwani mtu ananunua mafuta ndipo ije gari,au mahita/matumizi ya gari ndo huwa sababu ya mtu kuhitaji mafuta?
 
Back
Top Bottom