Yona Ni Mfano Wa Unabii Wa Kristo

Yona Ni Mfano Wa Unabii Wa Kristo

Samson Ernest

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
1,213
Reaction score
1,701
Yon 1:17 SUV
[17] BWANA akaweka tayari samaki mkubwa ili ammeze Yona, naye Yona akawa ndani ya tumbo la samaki yule muda wa siku tatu, mchana na usiku.

Kisa hichi cha Yona kumezwa na samaki na kukaa tumboni siku tatu ni kisa cha kusisimua sana, kisa kinachoonesha wazi kuwa huwezi kumkimbia Mungu ukafanikiwa.

Yona kukaa siku tatu na usiku tatu kwenye tumbo la samaki, tunaona na kwa Yesu lilikuwa tukio lile lile la kukaa kaburini siku tatu.

Inaonyesha wazi huu ulikuwa unabii wa siku zijazo, ambao umetimia siku za leo kwa Kristo.

Mt 12:40 SUV
[40] Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi.

Tumeona samaki huyu alikuwa chombo cha Mungu cha kumhifadhi katika tumbo lake, baada ya kuomba mwenyewe atupwe katika maji/bahari.

Tunaona na kwa Yesu kaburi lilitumika kama chombo cha kumhifadhi Yesu na wokovu ukapatikana kupitia Yeye.

Kwetu ni funzo, tunaona vile Mungu anaweza kutumia njia ambazo wakati mwingine kwetu wanadamu ni hatari na za kutisha.

Soma neno ukue kiroho
Liwe jua iwe mvua soma biblia na kutafakari
Mungu akubariki sana
 
VIONGOZI TUHUBURI UTAKATIFU

1)Ipo kauli moja ambayo ambayo inapendwa sana na waamini wanaopenda sababu ya kuhalalisha kwao kudumu kuishi kudumu katika dhambi

1)kauli ya kwanza wanayoipenda sana kuisikia DUNIANI SISI WOTE TUNA DHAMBI HAKUNA ASIYE NA DHAMBI

2)Kauli ya pili inayopendwa ili kuhalalisha kwao kudumu katika dhambi zao ni hii...TUNAOKOLEWA KWA NEEMA ..ni neema tu sio kwa jitihada zetu sio kwa matendo yetu sio kwa kulipa gharama .

na mistari wanayoipenda ni hii

1 Yoh 1:8-10
Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu.

Rum 3:23-26
kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; wanahesabiwa haki bure kwa neema yake,

Efe 2:8-10
Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu

Lakini moja ya mafunuo kwa ya wenzetu wa kizazi chetu waliobahatika KUONGEA NA YESU uso kwa uso katoka kizazi chetu hiki cha sasa.

YESU amesissitiza tuhuburi *UTAKATIFU"(kujitenga na dhambi,kutengwa na dhambi..kutakaswa...Ndio maana unaona mahubiri yangu yote ninayohubiri yote kabisa yanaongelea kitu kimoja tu...KUACHA DHAMBI KABISA ...UTAKATIFU...ndio kitu alichokisisitiza Yesu katika hiki kizazi chetu..

Kwa sababu watu wanapenda kudumu katika dhambi na kusema kuna NEEMA na sisi wote ni wenye dhambi kwa hiyo tuendelee tu hatuwezi kuacha dhambi ..tutaokolewa tu kwa neema tu ipo..tu..neema nyingi tu..hata hawawezi kusema nimeokoa ..wanasema duniani hakuna kuokoka wala hakuna utakatifu..wala hakuna asiye na dhambi..

SIO KWELI SISI NI LAZIMA TUWE WATAKATIFU HAPA DUNIANI.

Huwezi kuishi katika dhambi halafu utegemee utaenda kuwa mtakatifu mbinguni baada ya kufa..Hakuna baada ya kufa kitabu chako chaatendo yako hapa duniani kinafungwa kinachofuata ni hukumu..kuvuna ulichopanda kadiri ya matendo yako pindi ulipokuwa hai duniani unatoa hesabu ya matendo yako.

ndio maana unaona hata walutheri hawana ibada ya wafu kuombea wafu waliokufa ili Mungu awapeleke peponi..kinachoamua uende peponi ni matendo yako ukiwa hai duniani baada ya kufa hakuna kuokoka tena unaokoka ukiwa hai duniani kabla hujafa.

1)DUNIANI KUNA WATAKATIFU sio kweli kwamba wote waliopo duniani ni wenye dhambi.

2)sio kweli neema ipo tu nyingi ya kuchezea kwamba unarudia tu kufanya dhambi kwa makusudi halafu baadae unatubu halafu baadae unarudia tu kwa makusudi au unasema acha nitende dhambi kwanzaa nikikaribia kufa au nikizeeka sana nitatubu tu na kuingia mbinguni..ILA .tunatakiwa tuwe watakatifu hapa duniani ni lazima ..kama tunataka kuingia mbinguni kama kweli tunataka kuongia peponi tisiende motoni..NI LAZIMA tuwe watakatifu..hakuna kinyonge kitakachoingia mbinguni,mbingu ni takatifu walioko mbinguni ni watakatifu..tuyasafishe tuyafue mavazi yetu yawe meupe ..yasiwe na madoa doa...TUSIWE VUGU VUGU na michanganyo changanyo..TUOKOKE KWELI KWELI..100% ..Roho mtakatifu anaishi ndani yetu na yeye YESU na BABA wanakuja kukaa ndani yetu ..ndio wanatusaidia tena SIO kwamba roho mtakatifu ni msaidizi wetu ni anatawala kabisa maisha yetu ndiye yeye ROHO mtakatifu ukimruhusu atawale kabisa maisha yako..anakuongoza kabisa kuushinda ulimwengu mwili huu wa dhambi na tamaa zake mbaya.

Yesu alishinda na sisi tunaishinda dhambi kupitia YESU ,kama Paulo alipigana vita akavipiga vyema .

UKISHAOKOKA tu unakuwa upo vitani katika ulimwengu wa roho na ulimwengu wa giza na dhambi..lakini tunaishinda dhambi/mauti kupitia YESU..nasi tunamshinda kwa damu ya mwanakondoo.

HII NEEMA hii NEEMA tunayosema tunaokolewa kwa neema ndiyo hiyo neema inatufundisha kukataa UOVU..hakuna neema inayokufundisha uendelee kudumu katika dhambi na kusema wote tuna dhambi kwa hiyo ni sawa tu.

maandiko haya hapa chini baadhi kidogo.

Tit 2:11-12
Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa; nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa

1 Pet 1:15-16
bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.

Zab 16:3 SUV
Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora, Hao ndio niliopendezwa nao.

Ebr 12:14-17
Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao

Ni sahihi kwamba hutupaswi kujisifu kuwa sisi ni watakatifu...mana hata paulo alisema kama ninkujisifu atajisifu katika udhaifu wake..ila sio kitu kizuri kujisifu katika dhambi kwa kusema sisi ni wenye dhambi tu tuendelee kuishi katika dhambi tu mana hatuna namna..ipo tu neema ya kuchota itatusaidia ila hatuna uwezo wa kuishinda dhambi..

Rum 6:1-7
Tuseme nini basi? Tudumu katika dhambi ili neema izidi kuwa nyingi? Hasha! Sisi tulioifia dhambi tutaishije tena katika dhambi?

2 Tim 4:7 S
Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda

Unapo okoka tu mana yake tayari rasmi umeingia vitani...sasa unatakiwa ushinde vita yako...kuishinda dhambi..ni kweli hutaweza peke yako..kwa sabau unavyo mkiri tu YESU tayari hauko tena peke yako unakuwa upo na Yesu..

Naye anatupatia nguvu ya kushinda yote..
Tunayaweza mambo yote kupitia yeye atutiaye nguvu..
Tunapokea nguvu inayotuwezesha kuushinda tamaa mbaya za mwili huu wa mauti na mawazo yake mabaya.

KITU kimoja YESU amesisistiza sana katika kanisa la sasa tuhubiri juu ya utakatifu ili tusizoee kudumu katika dhambi na kusema its okey kila mtu ana dhambi..hakuna asiye na dhambi so its normal ..ipo tu NEEMA ...NEEMA NYINGI TU.

tuhubiri watu WAACHE DHAMBI ...dhambi ikemewe na kuonyana kwa upole na upendo..

sipendelei sana kusema tu wote tuna dhambi tu kwa hiyo ni sawa tu..its ikey tu...wote TUMEPEWA WITO na YESU kuutafuta UTAUWA ,UTAKATIFU..ndio tiketi ya kwenda mbinguni na wote tukonsafarini kuelekea huko hakuna anayetaka kwenda motoni.
 
sasa kama angekuwa anajua haiwezekani sisi binadamu kuishi maisha ya UTAKATIFU utauwa ya kutengwa na dhambi, asingewaambia hawa watu...wasitende dhambi tena kama haiwezekaniki??
 
Back
Top Bottom