Errors in genesis

Errors in genesis

ungekuwepo wakat dunia inaumbwa ningekuelewa. Kile ambacho unaona kidunia principle kwa mungu ni kinyume ukitaka kujua mwamini na uombe akuonyeshe majib ya maswali yako lakin sio kutumia principle za waumbwa
wewe mwenye imani nae naomba umuombe akupe majibu ya mswali haya yaliyoulizwa hapa halafu urudi utujibu
 
Ngoja waje uone povu linavyowatoka... hizi imani zilileta false knowledge na kuwafanya watu watumbafu.. the bible is grossly inaccurate and misleading..

we mbishi.Mmea unaweza shindwa kuota kwa kukosa mwanga wa jua siku moja?Ewe kiumbe, na mashabiki wako wanadai tutakujia kwa maneno makavu.Neema ya Mungu iwashukie.
 
we mbishi.Mmea unaweza shindwa kuota kwa kukosa mwanga wa jua siku moja?Ewe kiumbe, na mashabiki wako wanadai tutakujia kwa maneno makavu.Neema ya Mungu iwashukie.

aliye kwambia Mmea unaota kwa siku moja ni nani?
usikurupuke kuchangia utaonekana mjinga bure.ficha ujinga wako kaka
 
upo sahihi mkuu HOSHEA,dini zilivumbuliwa na wanadamu ambao walikuwa wavivu wa kufikiri

Mvivu wa kufikiri anaposhindwa kuelezea asili ya mwanadamu,atakwambia kuwa Mungu alimuumba

mvivu wa kufikiri anaposhindwa kuelezea chanzo cha maisha,atakwambia kuwa Mungu aliyaumba

yaani kila kitu wana kiattribute kwa mungu kwasababu ya uvivu wao wa kufikiri.

Atheist at work. Shiite!!!!!!
 
Wewe nadhani ni mpagani hauna dini..huko duniani kama sanamu :eek2:

Huko = uko / upo
Yes siamini dini una swali lingine labda?

By the way your religion does not help you in any situation in this life.
Maisha yanaendeshwa kwa kanuni tu, ukivunja kanuni either kwa kujua au kwa kutojua we jua utaadhibiwa tu. Hakuna cha dini wala Mungu atakaekutetea. Hata sijui kwanini nimeandika hayo wakati najua fika kuwa elimu yako ni ndogo sana kuelewa nnachokiongelea.
Cc: aretasludovick & Bennie 369
 
Last edited by a moderator:
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli

hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji

mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"

uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)

sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?

mwanzo 1:9-13

Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu

kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae

mwanzo 1:14-19

Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku

lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua

wakristo mnahitajika hapa tafadhali!

1. Actually, what we should know is that God created by will (i.e. he willed and everything existed).
2. The creation narrative is using what's called 'anthropomorphism' (attributing to the deity human characteristics).
3. This is because the addressees are human beings, so where God wills and somethings instantly exists, the narrative would say: "God said". Where God creates all humanity, it will put it in human language and time frame to correspond to time limits and need for rest.
4. Through 'anthropomorphism' humans come to know God's word (recorded in human form and using human faculties).
5. Human language is limited and won't describe all God's will and actions as God knows them, but only as humans are able to know them.
6. God created a perfectable (dynamic) world and humans participate in perfecting it through human work etc.
 
Hakuna kitabu kitakacho kuja kuandikwa kama biblia... The bestseller of all time. Kitabu kilicho tafsiriwa kwenye kwenye lugha nyingi kuliko chochote kile........ Kama hujui bora utulie usi-pickpoint mistari bila kuisoma na kuelewa contects zake
 
Contects = contents

Kuuzwa sana kwa kitabu haimaanishi kuwa ni kitabu bora, usijifanye hujui kama fasihi ina kazi ya kuburudisha pia.
 
Contects = contents

Kuuzwa sana kwa kitabu haimaanishi kuwa ni kitabu bora, usijifanye hujui kama fasihi ina kazi ya kuburudisha pia.

Nielewe najaribu kujenga hoja... Kama huelewi bas ila cream kwamba hakuna kitabu kama biblia it is historically, structually correct
 
Nielewe najaribu kujenga hoja... Kama huelewi bas ila cream kwamba hakuna kitabu kama biblia it is historically, structually correct

Mkuu hapa unazungumzia cream zipi? Au hizi wanazopaka ili kubadili rangi?
Kuuzwa kwa kitabu haimaanishi hicho kitabu ni bora sana
 
Kwani mungu hawezi kujadiliwa bila kutanguliza vitabu vya dini,?yaani kujadili uwepo wa mungu kwa real life experience haiwezekani?
 
Kwani mungu hawezi kujadiliwa bila kutanguliza vitabu vya dini,?yaani kujadili uwepo wa mungu kwa real life experience haiwezekani?

Haiwezekani kwasababu tofauti na hivyo vitabu vya dini huyo Mungu wala hajulikani kabisa. Ye umaarufu wake ni kwenye hizo dini tu
 
Hakuna kitabu kitakacho kuja kuandikwa kama biblia... The bestseller of all time. Kitabu kilicho tafsiriwa kwenye kwenye lugha nyingi kuliko chochote kile........ Kama hujui bora utulie usi-pickpoint mistari bila kuisoma na kuelewa contects zake
hahahaa

"the bestseller of all the time"
kwani biblia inauzwa?

anyway,hata avatar ya james cameroon ni block buster kama bible,imesambaza copy nyingi duniani,lakini hii haimaanisha kuwa ni kisa cha kweli

biblia kutafsiriwa katika lugha nyingi ni point ya kitoto,hata wikipedia ipo hivyo
wewe unatakiwa ufafanue kwanini kuna contradiction katika biblia

do you know the meaning of bestseller?,or you just heard from somebody?
even satanic documents can become bestseller also.
 
amoneyazan hapa pia panakuhusu. Soma upate maarifa sio kukariri vitu ulivyorithishwa
 
Last edited by a moderator:
Huku sasa Ni kumchunguza Mungu na vile ambavyo mwenyewe hapendi!
 
hahahaa

"the bestseller of all the time"
kwani biblia inauzwa?

anyway,hata avatar ya james cameroon ni block buster kama bible,imesambaza copy nyingi duniani,lakini hii haimaanisha kuwa ni kisa cha kweli

biblia kutafsiriwa katika lugha nyingi ni point ya kitoto,hata wikipedia ipo hivyo
wewe unatakiwa ufafanue kwanini kuna contradiction katika biblia

do you know the meaning of bestseller?,or you just heard from somebody?
even satanic documents can become bestseller also.

If we read the Bible at face value, without a preconceived bias for finding errors, we will find it to be a coherent, consistent, and relatively easy-to-understand book. Yes, there are difficult passages. Yes, there are verses that appear to contradict each other. We must remember that the Bible was written by approximately 40 different authors over a period of around 1500 years. Each writer wrote with a different style, from a different perspective, to a different audience, for a different purpose. We should expect some minor differences. However, a difference is not a contradiction. It is only an error if there is absolutely no conceivable way the verses or passages can be reconciled. Even if an answer is not available right now, that does not mean an answer does not exist. Many have found a supposed error in the Bible in relation to history or geography only to find out that the Bible is correct once further archaeological evidence is discovered.

We often receive questions along the lines of "Explain how these verses do not contradict!" or "Look, here is an error in the Bible!" Admittedly, some of the things people bring up are difficult to answer. However, it is our contention that there are viable and intellectually plausible answers to every supposed Bible contradiction and error. There are books and websites available that list "all the errors in the Bible." Most people simply get their ammunition from these places; they do not find supposed errors on their own. There are also books and websites available that refute every one of these supposed errors. The saddest thing is that most people who attack the Bible are not truly interested in an answer. Many "Bible attackers" are even aware of these answers, but they continue to use the same old shallow attacks again and again..
And to be honest ukikubali ukikata the bible is the bestseller of all time na ndo kitabu chenye translation nyingi hadi kimasaii.... Hii inaprove how wonderful the book is
 
you argue in wrong premises MAJESTIC WOLF

many christians regard bible as inspired word from God,in other word God himself is true author of the bible..
(you can't reject this,because it harmony with your religion stand)

the basic nature of God is perfectness&omnscience,so if he is true author of bible,then we shouldn't expect this(the so called difference)and contradiction

if bible is pure word of God,then there is no difference between it's authors,because both were insipired by one God!
 
Mpendwa einstein newton na maatheist wenzio kina Jimena, jambo moja kubwa ambalo lilifanya, linafanya na litaendelea kufanya muendelee kubishana(argue for and against each other) bila kufikia muafaka ni kuwa;
>upande mmoja(ninyi maatheist) mnakubali na kukiamini kitu/jambo endapo kitakuwa logically expressive plus kiwe/liwe na some scientifical evidences and proofs(kwa ukomo wa kufikiri kwenu),
>lakini kwa upande wa pili Sisi tumaomwamini MUNGU hatuhitaji kutumia nguvu nyingi/kusumbua akili zetu kuamini/kukubali(ana na) jambo, ni IMANI tu(kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo bayana na yasiyoonekana) ndiyo inafanya kazi hapa.

Kwahiyo kaeni mkiyafahamu haya.

Kwakuwa tunaokolewa kwa NEEMA, bado sishangai, time is our most teller, lets wait and see. Goodluck
Ahsateni.
 
Last edited by a moderator:
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli

hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji

mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"

uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)

sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?

mwanzo 1:9-13

Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu

kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae

mwanzo 1:14-19

Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku

lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua

wakristo mnahitajika hapa tafadhali!

I once told you, your very good in reasoning but in a very narrow perspective...kweli nimehakikisha Leo.
 
Back
Top Bottom