Hayo ni maneno tu hata kwenye kanga siku hizi yamejaa tele
Hatudanganyiki meeeen!
We njoo tuongee biashara ya Penguin
Anamzuga tu huyo mushaija ruttashobolwa.
ah wapi we mbona mchache sana
Ukija uwanja huu lazima ukimbie mwenye maana utashindwa kutoa ushaahidi.
bora uwambie ukweli labda watasikia.
Mwaka huu mi na wewe tu na sasa hivi nimeshasikia kuwa mali unayomiliki ni Bata tu,vitisho vyako vyote vimefutika akilini mwangu...
si nilishasema anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa huyu?
Kwani ushajaribu pengine ukaona hafunikwi?
Acha kukariri meeeen! ruttashobolwa hana tofauti na Ruhazwe JR sema majina tu ndio tofauti...
Tafakari na chukua hatua Madame B
Wewe ni mtu mdogo huwezi kunisumbua kabisa kwanza we ni minor!
Eti kaka, treni za mwakyembe ticket zake ni return? Nisije nikaenda kumuona b52 afu akawa hana nauli ya kurudia kwao!
hivi unaenda kwa ruhusa ya nani? Nshakwambia vyumba home vimajee kikiumana kwa Paw usije kabisa. Linda mali zako
sasa basi ukipata ruhusa kata tiketi ya return Mwakyembe ako serious na kazi bana
Nimemiss sana Mtwara, soon nitakuwa huko......Mtwara Raha.Ukipata nafasi pitia Mtwara pia,all the best.
Hahahaaaaaa King'asti umrnichekesha kiukweli hapo kwenye red....!Jamani kaka! Yaani nianze tu kurudi, ujanja wote huu? Hapa ni kubanana hadi kukuche!
Huyo mwakyembe wala hayuko serious! Hiyo safari ilipashwa kuwa 3 hours mostly, sasa masaa sijui 80? Kha!