EPUKA MAMBO HAYA PINDI UNAPOACHWA

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,463
Baada ya kuambiwa kuwa sina Amani na wewe au siku pendi au sijisikii kuwa na wewe SAS naomba tuachane.. Fanya haya ili kuepuka madhara... 1..___JIEPUSHE KUTAKA USHAURI KWA WATU WENGI... Baada ya kuambiwa kuwa sina Amani na wewe tambua kuwa moja kwa moja kuwa hupendwi na hutakiwi ktk moyo wake jee! Unataka ushauri gani kwa hao rafikizo.....wapo watakwambia mwangalie au anakutania lkn ukweli ni kwamba hakuna uongo ktk mapenzi.jiepushe kutaka ushauri kwa wengi....


2...__USISIKILIZE NYIMBO ZA HUZUNI,MAPENZI.

Wengi wanapo tendwa hupenda kusikiza nyimbo za mapenzi blues zenye hisia Kali huku wakijua kuwa watapona mioyo yao. Asili yq moyo ni huzuni furaha hutafutwa na www. Angalizo KUBWA hapa usiwe mwepesi wa kusikiza hizi nyimbo zitakuua taratibu...

3...__USIPENDE KUDADISI MAMBO YA MTU ALIYE KUACHA..

Watu wengi hupenda kudadisi mambo ya MTU wake wa kwanza hivyo huumizwa pindi Anapo sikia mambo ya MTU wake ,katika moyo wake hupokea taarifa mbaya na hukuweka ktk matatizo makubwa ya msongo wa mawazo......Angalizo Ktk kuachwa na MPENZI wako epuka kabisa kuwa mdadisi kwa MTU wako hutosikia habari nzuri Bali mbaya.

4...__MSAMEHE KUTOKA NDANI YA MOYO WAKO.
siku ZOTE msamaha huboresha Afya yako maana ya msamaha unasamehe kabla ya kuombwa msamaha huo ndio maana harisi ya Msamaha...
Ukiwa na kinyongo na mtu wako huwezi kumoendeza Mungu kabisa hivyo mengi atajifunza kwako ukimsamehe,,msamaha hulete furaha na Amani msamehe rafiki yangu..
Msamehe lkn msurudiane.

=FANYA YAFUATAYO KIPINDI UNAPOACHWA

1..Futa namba, zake mblock kwe mitandao yote usimwone wala usipate taarifa zake.. .. Kufanya hiyo kutasaidia kumsahau kwa haraka na yeye akiona upo kimya atajiona mjinga tu maana hua wanataka waone unatesa baada ya kukuacha

2..badili marafiki wapya amba walikua hawajui zaidi mahusiano yenu hawa watakua na mawazo mengi mpya nje ya mawayo ya kuhusu au yanayolandana na hali yako

3.anza kufanya vitu vyenye wapezi wengi mfano anza kudhabikia mpira au kwenda kwenye viwanja vya mazoezi kwenda gmy na sport clubs kuangalia mpira

4 hurusu moyo wako kupenda na kua na mtu wa jinsia tofauti na wewe ambaye atakupa hisia zingine za ziada
 
Ukiwa na moyo mwepesi ndio utafanya hvyo. Mimi sijawahi kuacha mtu, naachwa tu kila mara tena wakati mwingine naachwa na watu ninaowapenda sana, sijawahi kuwaza kuwablock wala kufuta namba zao. Ni marafiki zangu mitandaoni, naona mambo yao ila moyo wangu ulishazoea. Mmoja tu juzi baada ya kuniacha kwa muda kama wa mwaka mmoja ndio ameniblock kabisa. Aliniacha akijua labda nitamtafta tena au namna gani maana alikua anajua nampenda, ameshangaa mwaka mzima wala sijawahi kumtext wala kumpigia..

Ukiwa na moyo mwepesi mapenzi yatakupa shida. Nilishajicondition kukubali kuachwa, na actually mwanaume hutakiwi hata siku moja kuacha mwanamke, subiri akuache yeye. Binafsi sijawahi kuacha mwanamke.
 
Back
Top Bottom