Who the hell is kibonde
That's a very good question
Who the hell is kibonde
,Ephraim Kibonde ndiyo nani?
Amandla.........
Ephraim Kibonde anapalilia network yake tu, hana lolote analojua zaidi ya ulimbwende usiohitaji uchambuzi katika dimba la michezo na inappropriate jokes.
Don't make me murder machete his information lacking behind with archives of data going back to 1965 !
mumesahau kitu kimoja ana mpango wa kugombea ubunge jimbo moja la mkoani Mbeya mwaka 2010
Aisoma report ya Mnyika Radioni lakini kwa ufupi huku akiwataka wasikilizaji waende kwenye website ya Chadema kwa taarifa zaida.
Amezidi kumpinga Manyika kuwa hakuwa sahihi kumkosoa Membe.
Jamaa yuko biased ile mbaya, amfananisha Mnyika na Lipuli na Membe na Man United.
mumesahau kitu kimoja ana mpango wa kugombea ubunge jimbo moja la mkoani Mbeya mwaka 2010
umetupoteza kabisa hapa Mkuu!
Ephraim Kibonde ndiyo nani?
Amandla.........
Mi kwamba, asitake kutufanya sisi watoto wadogo tuliozaliwa juzi kwa kumtetea Membe na fake patriotism, wakati tunajua kwamba hamna patriotism katika cronyism na non-critical analysis.
Asitake twende kwenye makabrasha yanayorudi nyuma kuonyesha Tanzania ilivyojihusisha na vita vya wenyewe kwa wenyewe Eastern Congo kuanzia 1965 mpaka ikatolewa nishai na mkataba wa Accra, mbona vitu vipo well documented?
Leo Membe anajitia serikali ya Tanzania haiwezi kufanya hivi wakati precedents zipo? Zimeelezwa katika mikutano ya kimataifa?
Kuna mwenye biography ya huyu Kibonde?
labda ka resumeKuna mwenye biography ya huyu Kibonde?
Moja ya nguzo zilizoijenga JF ni kuheshimu uhuru wa wengine kutoa mawazo,hata kama wengi hatuafikiani nayo.Kibonde ametumia ipasavyo haki yake ya kikatiba na kidemokrasia kutoa utetezi kwa Membe,regardless ya kilichomo kwenye utetezi huo.
Pili,just like Uhuru na Mzalendo zinavyoitetea CCM ambayo ni mmiliki wao,au IPP Media zinavyomfagilia Chairman Mengi,na au Habari Corporation wanavyomsujudia Rostam,same as kila chombo cha habari cha News Corp kinavyomheshimu Rupert Mordoch,Clouds nao wana uhuru wa kuwafagilia "wafadhili" wao.
Principles za uandishi wa habari ni vigumu sana kutekelezeka in real life pale wafadhili wa vyombo hivyo wanapokuwa sehemu ya habari.Ndio maana kwa hapa UK kuna wanaoliona gazeti la The Guardian kuwa lina fursa nzuri ya kufanya uandishi wa habari usiosukumwa na "kuwapepea wafadhili" kwa vile "it's owned by no one"
It's even worse katika mazingira ya Kibongo ambapo to succeed you need to win hearts and minds za mafisadi.And cheapest and easiest way ni kufanya wanafanyavyo akina Peter Serukamba.Not that I agree with them lakini hate them or love them wauza utu wao kwa ajili ya kupata maslahi yao ni miongoni mwa watu waliofanikiwa katika malengo yao huko Bongo,iwe kisiasa,kiuchumi au hata kijamii.
Going beyond alichokiongea Ephraim Kibonde,pengine ni muhimu kutambua aina ya wanahabari tulionao kwenye vyombo vya habari binafsi kama Clouds FM.Vipaji pekee walivyonavyo wengi wao ni sauti za kuiga,kubabaikiwa na wanajamii na vitu vingine visivyo na msingi kama hivyo.Ukitegemea mijadala iliyokwenda shule sehemu kama Clouds FM you could as well expect Osama kuwa the next US President.Tusishangae moshi kutoka kwenye exhaust ya gari mkweche.
Nafasi ya professionalism kwenye pandemic ya ubabaishaji ni pipedream.
Kuna mwenye biography ya huyu Kibonde?