Ephraim Kibonde Jahazi Show

Kibonde GO AHEAD, ENDELEA KUSHAINI........... Maana mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe................... Humu JF kuna msemo unaosema MKONO MTUPU HAULAMBWI.................. Mkono wako si mtupu, ndiyo maana unatajwa sana........................... WHO THE HELL IS KIBONDE........... ANAGOMBEA UBUNGE................ HAJUI KUTANGAZA................. ANAROPOKA............... CV............. BIBLIOGRAPHY ..................etc
Remember, one day someone in this JF said ............. THE ONE WHO HATES YOU MOST........... LOVES YOU MOST

hapo kwenye red ni msemo tu usijidanganye na haitatokea
kumbe wanaowasema mafisadi wanawapenda sana eeh :)

ngalikihija ndo maana kuna msemo mwingine usemao usimtukane mamba kabla hujavuka mto ...ni kwa nini wamponde mnyika kawakosea nini?? au wao wana nini???
 
Aisoma report ya Mnyika Radioni lakini kwa ufupi huku akiwataka wasikilizaji waende kwenye website ya Chadema kwa taarifa zaida.

Amezidi kumpinga Mnyika kuwa hakuwa sahihi kumkosoa Membe.

Jamaa yuko biased ile mbaya, amemfananisha Mnyika na Lipuli na Membe na Man United.

Bwana Mengi juzi juzi alisema usibishane na mjinga vinginevyo watu hawatatofautisha kati yako nayeye. Kibonde thinks he knows because he has the priveledge of being a Radio Presenter.
 
ngalikihija ndo maana kuna msemo mwingine usemao usimtukane mamba kabla hujavuka mto ...ni kwa nini wamponde mnyika kawakosea nini?? au wao wana nini???

Dada wa First;

Ahadi yangu nimetekeleza. Kibonde ameniambia alikuja humu na kucheck, kisha akaondoka.

Ombi jingine??

Na mkinipa u Rais nitatekeleza ahadi zangu zote za kuwaletea maendeleo! LOL
 
JF -Great thinkers
Simple minded - Discuss people.

Imenibidi nianze ni vidokezo hivyo Viwili mara baada ya kusoma mabandiko karibu yote katika Mada hii husika.

Awali ya yote ni lazima tukubali kuwa kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake ili mradi tu asivunje sheria za nchi. Ili mjadala wowote uwe na mvuto ni lazima kuwe na mgongano wa mawazo katika kutoa hoja mbalimbali ( zaidi kutumia nguvu ya hoja na wala sio Hoja za nguvu.)

Kibonde kama mwananchi na vile vile mtangazaji huko TZ ana haki kukubaliana au kupingana na mawazo ya Mh Membe katika kadhia nzima ya silaha za huko DRC.

Kibonde amekubaliana na Membe na wengi katika JF wamepingana na Membe. sasa hiyo isiwe ni uhasama kwa kutusiana na hata kutumiana maneno au hata kulumbana na kukashifiana. Lazima mjue kuwa Kibonde nae ana weza kutumia hata dakika10 tu kuitusi hii JF bila sisi kueza kujibu kama vile sisi tunavyomkashifu bila yeye kujibu ndani ya JF. ndio maana wengi wetu tunasema jiunge basi ujibu hoja. Na yeye anaweza kusema nenda pale studio ujibu hoja.

Kumbukeni Radio ndio chombo kikubwa kabisa kinachowafikia watu wengi wa kila kada na sio kama JF inawafikia wasomi wachache walio na uwezo wa ku access computer.

Labda kwa kumalizia tukia kama GREAT THINKERS tuweke points zetu za kupingana na Membe na tusilazimishe KIBONDE akubaliane na sisi kwa lazima. Tutoe hoja zetu mpaka kibonde akizisoma akubaliane nasi na abadili msimamo wake.
 
Watu wenye mtazamo kama wako kwenye waliochangia hii thread ni WAWILI tu, mimi na wewe.

Humu kuna baadhi ya watu wana akili ndogo kuliko wanaowasema! kazi zao kwenda personal tu.
 
Kumbukeni UN wamesema kuwa ripoti ile sio ya UN bali ni ya kikundi cha wataalamu wa UN waliopewa kuchunguza issue za DRC. Sasa ripoti ile ilitakiwa kupelekwa kwenye baraza la UN ipitiwe na kisha kutolewa kama taarifa ya UN.

UN wame apologize kwa hilo. Sasa tungoje baraza la usalama waipitie ripoti hiyo.

Tusikurupuke tuwe na Subra. Mpaka hapa Membe yupo sahihi. Tungoje ripoti ya baraza la UN
 
hahahah fairPlayer hebu acha kumbe hata ubunge hatukupi ng'o..
 
Dada wa First;

Ahadi yangu nimetekeleza. Kibonde ameniambia alikuja humu na kucheck, kisha akaondoka.

Ombi jingine??

Na mkinipa u Rais nitatekeleza ahadi zangu zote za kuwaletea maendeleo! LOL

asante FP
ila swala la urais sidhani mnatoaga ahadi hewa kibao tutakuamini vip?
 
Kumbukeni UN wamesema kuwa ripoti ile sio ya UN bali ni ya kikundi cha wataalamu wa UN waliopewa kuchunguza issue za DRC. Sasa ripoti ile ilitakiwa kupelekwa kwenye baraza la UN ipitiwe na kisha kutolewa kama taarifa ya UN.

UN wame apologize kwa hilo. Sasa tungoje baraza la usalama waipitie ripoti hiyo.

Tusikurupuke tuwe na Subra. Mpaka hapa Membe yupo sahihi. Tungoje ripoti ya baraza la UN

lisemwalo lipo kama halipo...
 
Kwa hiyo hata majambazi, wauza unga, vibaka waendelee tu kwa sababu jamiii inawatajataja? kazi kwelikweli!!
UNAKOSEA, MAJAMBAZI, WAUZA UNGA, VIBAKA WASIENDELEE KWA VILE WANAVUNJA SEHEMU YA SHERIA ZA NCHI............. KIBONDE KATIKA KILE ALICHOKIFANYA, HAJAVUNJA SHERIA ILA AMETUMIA UHURU WAKE WA KUONGEA BILA KUVUNJA SHERIA.......................... Na hii imo kwenye katiba ya nchi............. KIBONDE ENDELEAAAA.........
 
Watu wenye mtazamo kama wako kwenye waliochangia hii thread ni WAWILI tu, mimi na wewe.

Humu kuna baadhi ya watu wana akili ndogo kuliko wanaowasema! kazi zao kwenda personal tu.
FP,
Kwa kuwa una mawasiliano mazuri na vijana wa Clouds waombe wasiendelee kuwamaliza vijana wadogo wa Nchi hii kwa matamasha ya ajabuajabu. Wanatafuta pesa ndio, wanataka umaarufu ndio, lakini unapowakomba watu masikini kuliko wewe ni uuaji wa kiwango fulani. Vijana hawa Clouds wamebobea sasa kwenye brain'washing. Vijana wanapokutana kwenye matamasha yale kunakuwa na vituko na mambo ya ajabu kabisa, wanaambukizana tabia za ajabu kabisa.
 
Mpaka hapa Membe yupo sahihi. Tungoje ripoti ya baraza la UN

Membe yupo sahihi katika lipi? Alitaka UN iombe radhi, wamemwambia siyo wao waliyoiandaa na hawakuwa/hawana influence yoyote kwenye content za hiyo report. Membe anasema serikali haihusiki!

Sasa kama silaha zinapita kwenye viwanja vyetu vya ndege na bandari ambazo kwa ninavyojua mimi zipo chini ya serikali, ni vipi serikali inaweza kujitoa.

Kama Balozi, wanasiasa na maafisa wa jeshi letu wanahusika ni vipi serikali inaweza kujiweka kando na watu hawa? Ni kweli mambo haya yote yanatokea bila UwT kujua?
 
Kibonde GO AHEAD, ENDELEA KUSHAINI........... Maana mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe................... Humu JF kuna msemo unaosema MKONO MTUPU HAULAMBWI.................. Mkono wako si mtupu, ndiyo maana unatajwa sana........................... WHO THE HELL IS KIBONDE........... ANAGOMBEA UBUNGE................ HAJUI KUTANGAZA................. ANAROPOKA............... CV............. BIBLIOGRAPHY ..................etc
Remember, one day someone in this JF said ............. THE ONE WHO HATES YOU MOST........... LOVES YOU MOST

incompopo, SHUDU TUPU....Ndo huyo kibonge kakutuma au...? inaonyesha uelewa wenu wote ulivyo mchanga, try to think b4 posting ur rubbish..
 
[/COLOR]

hapo kwenye red ni msemo tu usijidanganye na haitatokea
kumbe wanaowasema mafisadi wanawapenda sana eeh :)
Yaani kwa kusema ukweli humu JF kuna wasikilizaji wengi sana wa clouds FM.......... Yaani wanayoyatamka yanaonyesha ni kwa jinsi gani wanaisikiliza hii radio.
 
Jamani acheni uongo. Kibonde sio member humu na wala sio guest wa kila siku. Jana alinihaidi kuja humu na kusoma mliyoandika juu yake. Sijui kama alikuja au la maana hakunipa feedback

Ni jambo zuri kama ameamua kuipa JF sifa inayostahili.

Dah mwandishi wa habari hapiti sehemu hizi???????????
Msitegemee analysis ya maana kwa mtu asiyependa kufunuafunua vitu
 
Membe yupo sahihi katika lipi? Alitaka UN iombe radhi, wamemwambia siyo wao waliyoiandaa na hawakuwa/hawana influence yoyote kwenye content za hiyo report. Membe anasema serikali haihusiki!

Sasa kama silaha zinapita kwenye viwanja vyetu vya ndege na bandari ambazo kwa ninavyojua mimi zipo chini ya serikali, ni vipi serikali inaweza kujitoa.

Kama Balozi, wanasiasa na maafisa wa jeshi letu wanahusika ni vipi serikali inaweza kujiweka kando na watu hawa? Ni kweli mambo haya yote yanatokea bila UwT kujua?

Kama tulivyo kubaliana kuwa UN wamekubali sio wao na wala hawahusiki katika ripoti hiyo.

Sasa lazima tujuwe kuwa ripoti hiyo itapelekwa kwenye kamati maalum ya kuijadili kabla kufikishwa katika baraza la usalama kama azimio.

Ndani ya Azimio kutakuwa na Kosa, nani wahusika na nini kifanyike kuliondoa hilo na kumaliza vita ya DRC.

Tukumbuke kuwa UN kuunda jopo hili la wataalamu wana nia ya kutaka kumaliza vita ya DRC.

Sasa tuwe na Subra tuone mwisho wake na wala tusikurupuke katika kutoa maamuzi.
 
incompopo, SHUDU TUPU....Ndo huyo kibonge kakutuma au...? inaonyesha uelewa wenu wote ulivyo mchanga, try to think b4 posting ur rubbish..
Sijatumwa na mtu, ila natoa kile ninachokiona........... Yaani una maana sina uwezo wa kutoa hoja zangu hadi nitumwe...???? Hapo unakosea, labda wewe unatumwa na wanaomchukia kibonde.... tehh...teh Kutumwa au kutokutumwa hakupimwi kwa kukubaliana au kutokukubaliana na hoja zako au za wengine.............

NI KAZI KUBWA SANA KATIKA DUNIA HII KUMFURAHISHA KILA MTU KWA KILA JAMBO UNALOLIFANYA............... KILA UNACHOKIFANYA UNAWAGAWA WATU KATIKA MAKUNDI MATATU YAFUATAYO
1. MA-DON'T CARE
2. WA UPANDE WAKO
3. WATAKAOKUPINGA

WENGINE HUWA WANAWATUKANA WATUWANAOWAPINGA........... WHICH IS NOT FAIR, WAKATI MWINGINE LAZIMA MKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA.
 
Back
Top Bottom