Kibonde na Marini Hassan wa TBC hawatofautiani. Hawa watu wanajua fika kuwa wamefika hapo walipo kibahatibahati na pindi watakapoondoka basi huo ndiyo mwisho wao.
Wanachokifanya ni kutumia opportunity ya kuwa karibu na microphone kufanya mchezo wa "kisa cha kijakazi na mfalme, kazi yake kubwa ni kutetea kuwa mfalme haendi choo na yeye anakuwa wa kwanza kukimbia na kufukia pindi ikitokea mfalme kafuata nature, bahshishi ni kuendelea kuishi kwenye kasri kwa makombo yanayoachwa na mfalme - kwani maisha yake yapo juu ya mfalme"
Cha kufanya ni kuwapuuza basi, Mkinga anawaita wachumia tumbo, pangu pakavu tia mchuzi.
Kibonde ni mchumia TUMBO!
Kibonde anaona matatizo ya watanzania, lakini mjinga anajifanya anatokea sehemu ambapo hapitii barabarani. sijui anapitia mbinguni ndio afike clouds huko wanakojaza vitoto vya kike vya THT mimba? Huyu mtu mnafiki kweli. Hakuna cha maana anachoongea chooni kwake clouds zaidi ya kujamba uvundo. Raia wanakufa na njaa, mahospitalini, migomo mashuleni yeye yale yale kutetea... hawa ndo watu wakifa inabidi watupwe waliwe na mbwa, mola nisamehe. Nachukia watu wanaotumia nafasi zao vibaya! Kibonde unachukiwa kweli kama familia ya makamba
Kibonde ni **** najiona kama vile katoka nchi ya kusadikika ambako anazungukwa na watumwa. Anadhania kwa kujikomba kwa watu atafika mbinguni? Anaishi magomeni mapipa jitu linajifanya kutokea Masaki. Kwani nani hamjui huyu mnafiki?. **** anatamani akienda chooni wanawake watatu wamfuate kumpangusa makalio, ndo maana tumbo lake linazidi kupata mimba wakati mwili unasinyaa, sharobaro la kike, hana mpango. abadilishe tabia yake ya kutukana watu ovyo redioni
Akishika microphone vitoto vya THT vya kike anavyobaka vinamuita mheshiwa... nyambaf.. huyu kilaza. Aende shule akajenge hoja badala ya kukaa kubwabwaja ovyo ccm imsikiye na hapo anawaponda wanaopingana na CCM wakati mama yake mzazi hana hata chakula. Leo litokwe jasho linapenda sana kuwaonea watu. Wajinga ndo walivyo, vinajifanya kujua kumbe hakuna lolote.... nikimsikiaga nazima redio ndio ujue alivyo mjinga
Kibonde, duniani tunapita tu. Magari, majumba ya kifahari, elimu, vyeo, hela na vyakula vizuri tunakufa tunaviacha. ubinadamu haufi. jijengee heshima. Wajali watanzania wenzio hacha tabia yako mbaya, watumikie watanzania wenzako wanaoumia mitaani. tumia nafasi uliyo nayo kuwatetea. Ukifuata nyayo za RUGE basi utajuta. ila nina uhakika siku ya kufa utaomba msamaha...!