Ephrahim Kibonde ana CHEO gani CCM?

Ephrahim Kibonde ana CHEO gani CCM?

Kibonde.. one of the Superstar hapa Jamiiforum! Kila siku haikosekani thread inayomuhusu!

Siku zote anayetimua vumbi ni yule wa kwanza na wa mwisho. The best and the worst always make headlines.
 
Nashindwa kuelewa kwamba Ephrahim Kibonde ana cheo gani ndani ya CCM? Kwa maana kila wanachokisema CHADEMA yeye ndo wa kwanza redioni kukipinga sipokuwa mada za ZITTO. Naombeni mnijuze kwamna Kibonde ana mamlaka gani ndani ya CCM au Serikalini. Kwa maana kama mwandishi wa habari, tena kanjanja, Kibonde angefuata maadili ya uandishi bila kuwa mshabiki. Maneno kama ya wakina kibonde ya uchochezi redioni ndiyo yaliyoleta machafuko nchini Rwanda.Muda mwingine Kibonde anatukana watu redioni bila aibu.. Kibonde kulikoni?NB: Wanaosema kwamba mimi ni mwana CHADEMA, Kwa taarifa yenu, hapana mimi ni CCM Damu tena wadhifa mkubwa UV-CCM. Nakerwa tu na maneno ya huyu Jamaa. Anaboa Sana. abadilike, Kwanza anatuharibia CCM wakati tunapotaka kuweka mambo sawa. Hatutaki Ushabiki na ukimbelemble bali Hoja
kama ww ni mwana ccm kiongozi unashindwa kumtambua mwenzako? Ama ubadilishe taito ama ukanushe ww huna uongozi wowote!
 
Tatizo la kibonde anajikuza mno ktk kuchambua habar yeye anataka kujifanya kila kitu anajua hata mimi cmuelewi vizuri cjui ni pombe zile anazokunywa .
 
Huyo jamaa aklri hana nakumbuka hata kipindi wana funzi wanagoma kuongezewa fedha ya kujikim alikuwa akipinga sana eti ooh wanataka anasa jamaa si mzima
 
Mh huyu jamaaa ni kibaraka pale clouse ,coz ile ni Radio ya vijana na vijana wengi wako against waMagamba ivyo natumiwa pale, lakini kwa taarifa zake 2melishitukia.Kile kipindi kilikuwa kina mfaa Gadna na cyo hilo jamaa 2mbo mbele kwa kifupi ikifika saakumi huwa nabadili stesheni kwa sababu ya KIBONDE
 
Mh huyu jamaaa ni kibaraka pale clouse ,coz ile ni Radio ya vijana na vijana wengi wako against na waMagamba ivyo Kibonde anatumiwa pale, lakini kwa taarifa zake 2melishitukia 2naupeo wa mbali zaidi yake na kuna wakati anaposoma habari zinazo pinga serikali ana luka na kuziponda .Kile kipindi kilikuwa kina mfaa Gadna na cyo hilo jamaa 2mbo mbele kwa kifupi ikifika saakumi huwa nabadili stesheni kwa sababu ya KIBONDE
 
Back
Top Bottom