tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,115
kuna baadhi wamemtetea Kibonde nafikiri nao wana akili kama za kwake za kichochezi , nimemsikia kwa masikio yangu akimponda mheshimiwa sugu na kuapa kuwa hawezi kupata Ubunge hana sifa (wakati wa kampen ) mtangazaji kama huyu hafai!!!!!!!!. leo hii Sugu ni mbunge. huyu jamaa hatoi habari kama ipasavyo na imepelekea Radio claus kwa ujumla kuegemea upande wa ccm. wanaofutilia habari watakubaliana na mimi kuwa utafiti kwa vyombo vya habari ulionyesha claus ni chombo huru pekee kilicho pigia kampen ccm! nafikiri pale claus ana kacheo mpaka kashawishi kampuni nzima . USHAAURI KWA CLAUS Badiliken kama nchi inavyo badilika. hata nyie wana magamba badiliken !