Ephrahim Kibonde ana CHEO gani CCM?

Niko sehemu mara jahazi limeanza sina jinsi nalazimika kumsikiliza huyu jamaa. Ni maoni ya upinzani kuhusu muda wa elimu ya msingi kuongezwa. Jamaa wamependekeza dozi ya elimu ya msingi iongeezwe coz wanavijiji kibao ndo wanaishia hapo, halafu four na six ziunganishwe ziwe miaka miwili. Mda wa shule unabakia palepale suala ni huyu mtoto apige na ma VETA hukohuko shule ya msingi. Sina uhakika kama kibonde ameelewa. Suala nafikiri kisa ni point ya upinzani

Jitoe JF wewe umejiunga juzi tu na unaleta utumbo tena , hutufai jitoe !
 
Matokeo ya Form four ya Kibonde yalibandikwa kwenye notice board mbalimbali pale UDSM, alifeli masomo yote isipokuwa Nutrition. Ali re-seat mara tatu kutafuta credit bado akashindwa. Kama angesomeshwa kwa lazima miaka 9 ya primary, huenda angeelimika na kumfanya asitangaze vitu vya ajabu hapo Clouds hata kama angekuja kufeli miaka miwili ya post-primary education.
 
Kibonde.. one of the Superstar hapa Jamiiforum! Kila siku haikosekani thread inayomuhusu!
 
Niko sehemu mara jahazi limeanza sina jinsi nalazimika kumsikiliza huyu jamaa. Ni maoni ya upinzani kuhusu muda wa elimu ya msingi kuongezwa. Jamaa wamependekeza dozi ya elimu ya msingi iongeezwe coz wanavijiji kibao ndo wanaishia hapo, halafu four na six ziunganishwe ziwe miaka miwili. Mda wa shule unabakia palepale suala ni huyu mtoto apige na ma VETA hukohuko shule ya msingi. Sina uhakika kama kibonde ameelewa. Suala nafikiri kisa ni point ya upinzani
Lekanenae yuyo mwehu blai
 
Mambo ya clouds na Kibonde sipendi kuyasikia thats why huwa sisikilizi hiyo redio na hasa jahazi.Naamua kuspend mda wangu humu jf lakini bado kibonde namkuta!Please wale mnaosikiliza pumba za kibonge sikilizeni kwa faida yenu tu jamani msilete upuuzi wake humu.kuna mengi ya kujadili ya muhimu kuliko kibonde.Ni ombi tu waungwana.
 
Kwani mdau hukuweka pamba masikioni? au vidole unabana masikio ili usisikie. Duh, pole sana
 
Achana na uyo mtu ameshafanyiwa lobbying..mnafikiri wanafanyiwa Watu wa mjengoni tu..dah jamaa anazingua sana yule.
 
simjui huyu kibonde ila nadhani kama ni umaarufu anao na mnampa wenewe hapa maaaana kila kukicha kibonde kibonde! Sasa kama ni ***** au hafai mnamsikiliza kwa nini? au mnaleta mada zake hapa ili iweje? Kama vipi si mumtafute mumpe live tu maana hapa mnatwanga maji kwenye kinu tu,, mna uhakika gani kama maoni yenu haya anayasoma? Acheni majungu mbwiga nyie, ebo!
 
Kibonde kwa kidhungu anaitwa a.s.s licker, yaani mtu ambaye yuko tayari kumeza uchafu ili kumfurahisha mwenye uchafu.... anatafuta udc kama walivyopata akina betty au ubunge kama wa juma
 
tatizo mnashindwa kuelewa huwa kibonde natoa njozi zake na mawazo yake afu nyie mnakasirika uzuri wa kibonde anasaidia kupeleka muda mbele kuanzia sasa ndo uelewe hivyo..
 
Mambo ya clouds na Kibonde sipendi kuyasikia thats why huwa sisikilizi hiyo redio na hasa jahazi.Naamua kuspend mda wangu humu jf lakini bado kibonde namkuta!Please wale mnaosikiliza pumba za kibonge sikilizeni kwa faida yenu tu jamani msilete upuuzi wake humu.kuna mengi ya kujadili ya muhimu kuliko kibonde.Ni ombi tu waungwana.
jina lake tu KIBONDE......me naona kama kajpendelea,huyo ni m-DEPRESSION kabisa!
 
wewe nyani kibonde kaoa dada ako?

Mbona wamtetea sana kwa hoja dhaifu?
Maoni ya kufagilia ccm nani anataka?
Wangapi wanakadi za CDM na niwanahabari lakini hawaifagili kama she did?mean kibonde

Misuse of power or Abuse of power. Ni hatari sana kwa mtu yoyote hasa kwa watu wa media mana inasikilizwa na mass kubwa.
 
Wewe uliyejiunga siku nyingi una mchango gani kwa taifa hili, kama si kumaliza oxygen bure.
Kwa maneno yako wewe lazima utakuwa punga

Mkuu usiwe jicho kwa jicho ama jino kwa jino. Tujifunze kusamehe.
 
..I really have to see hayo mapendekezo ya kambi ya upinzani.

..elimu siyo suala la kulifanyia experiment za kisiasa-siasa.

..kwa taifa lenye matatizo kibao na fedha kidogo ni afadhali kuelekeza nguvu zetu kuboresha mfumo tulionao sasa hivi kuliko kuleta mfumo mpya kabisa.

..vilevile ikumbukwe kwamba malengo ya EAC ni kuwa na mfumo mmoja wa elimu kwa nchi zote za eneo hili. sasa sijui kama hayo mapendekezo ya kambi ya upinzani yamezingatia suala hilo.
 
kubwa jinga hlo, nalichukia toka niko 4m one na sasa nina mke na mtoto kumbe bado liko vlevle, ilikua mwaka 98

Unaweza kuibandika hapa CV yake tukaiona. Manake namsikia kila siku akisema ooo waliokulia upanga ooo waliosoma muhimbili wanajua sehemu inaitwa kiduka shop kwa taibali oooh sijui nini upanga hadi kero.
 
Back
Top Bottom