Ephrahim Kibonde ana CHEO gani CCM?

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Nashindwa kuelewa kwamba Ephrahim Kibonde ana cheo gani ndani ya CCM? Kwa maana kila wanachokisema CHADEMA yeye ndo wa kwanza redioni kukipinga sipokuwa mada za ZITTO. Naombeni mnijuze kwamna Kibonde ana mamlaka gani ndani ya CCM au Serikalini. Kwa maana kama mwandishi wa habari, tena kanjanja, Kibonde angefuata maadili ya uandishi bila kuwa mshabiki. Maneno kama ya wakina kibonde ya uchochezi redioni ndiyo yaliyoleta machafuko nchini Rwanda.Muda mwingine Kibonde anatukana watu redioni bila aibu..

Kibonde kulikoni?

NB: Wanaosema kwamba mimi ni mwana CHADEMA, Kwa taarifa yenu, hapana mimi ni CCM Damu tena wadhifa mkubwa UV-CCM. Nakerwa tu na maneno ya huyu Jamaa. Anaboa Sana. abadilike, Kwanza anatuharibia CCM wakati tunapotaka kuweka mambo sawa. Hatutaki Ushabiki na ukimbelemble bali Hoja
 
Nashindwa kuelewa kwamba Ephrahim Kibonde ana cheo gani ndani ya CCM? Kwa maana kila wanachokisema CHADEMA yeye ndo wa kwanza redioni kukipinga sipokuwa mada za ZITTO. Naombeni mnijuze kwamna Kibonde ana mamlaka gani ndani ya CCM au Serikalini. Kwa maana kama mwandishi wa habari, tena kanjanja, Kibonde angefuata maadili ya uandishi bila kuwa mshabiki. Maneno kama ya wakina kibonde ya uchochezi redioni ndiyo yaliyoleta machafuko nchini Rwanda. Kibonde kulikoni?

Kibonde apate cheo gani, yule jamaa ni njaa tu. Vuvuzela linalotumika bila kujijua. Mtu mwenyewe si mnaona litumbo lake linazidi kuwa kubwa au ARV's zinafanya kazi zaidi? Yaani ananitiaga kichefchefu. nikimsikiaga nazima redio. Ovyo kweli kibonde, ila wasubiri CCM itoke.
 
Anajipendekeza tu,anadhani atapata ubunge hapo baadae kama Amina Chifupa

Ubunge apate kibonde? Jamaa mwenyewe kiingereza chenyewe hajui za kuomba maji na usharobaro wa mjini. Yule jamaa hana kabisa kichwani... hana, niaminie, linajifanya kujua tu. Si unaona mada zake?
 
Mwacheni yule hamna asiyejua matatizo yake hlf ni swahiba sn wa JK, kuhusu ARV za Kibonde japokuwa si vizuri kuongelea personel ya mtu lkn ukweli ni kwamba jamaa ni mwathirika
 
Ubunge apate kibonde? Jamaa mwenyewe kiingereza chenyewe hajui za kuomba maji na usharobaro wa mjini. Yule jamaa hana kabisa kichwani... hana, niaminie, linajifanya kujua tu. Si unaona mada zake?
Kibonde kweli ni pumba! Lakini kuwa mbunge wa Tanzania mpaka ujue Kingereza katiba ndio inasema hivyo? Hawa ni baadhi ya wabunge hawafahamu Kingereza.Lema, Komba, Sugu, Azzan, Selasini, Mbowe, Lukuvi
 
Kwa maana kama mwandishi wa habari, tena kanjanja, Kibonde angefuata maadili ya uandishi bila kuwa mshabiki.

Kibonde ana haki zote za kukipenda chama chochote kile cha kisiasa. Yeye ni commentator hivyo anaruhusiwa kutoa maoni yake waziwazi. Tofautisheni kati ya news anchors, journalists, na commentators.

Tasnia ya habari ni pana. Haianzii na kuishia kwenye kusoma na kuripoti taarifa za habari tu. Na ndiyo maana kwenye magazeti kuna section za op-eds. Ila naelewa baadhi ya hizi fani kwa Afrika bado ni changa mno kwa watu kuwaelewa ma commentators kama Kibonde.

Je tungekuwa na akina Rush Limbaugh au Keith Olberman si baadhi yenu mngekufa kwa mashinikizo kabisa...
 
Au Ni MC wa CCM!Nakumbukuka wakati ule wanazindua uchangiaji chama kwa njia ya Simu alikuwa MC!Labda anapalilia Tenda ya U-MC!
Mie Mkweche sipati Radio klauds huku Igangidungu haishikagi
 
kwani chadema ni nai waungwe mkono kwenye kila kitu?? hebu tuache mgando wa akili

Mimi nasapoti chadema lakini i dont mind ubishi wa wana CCM, we si umeona mwenyewe bagaile aka mabaga kaanza kufunguka na kutandaza sera za chadema!!!

Kibonde ni tomaso and one day he will believe, lets put him on ignore list
 
Nashindwa kuelewa kwamba Ephrahim Kibonde ana cheo gani ndani ya CCM? Kwa maana kila wanachokisema CHADEMA yeye ndo wa kwanza redioni kukipinga sipokuwa mada za ZITTO. Naombeni mnijuze kwamna Kibonde ana mamlaka gani ndani ya CCM au Serikalini. Kwa maana kama mwandishi wa habari, tena kanjanja, Kibonde angefuata maadili ya uandishi bila kuwa mshabiki. Maneno kama ya wakina kibonde ya uchochezi redioni ndiyo yaliyoleta machafuko nchini Rwanda. Kibonde kulikoni?
ushasema kanjanja unategemea utapata nini kutoka kwake, achana nae.
 
Ma commentators wengine nao hawakatazwa kukiunga mkono CHADEMA au chama kingine chochote kile cha kisiasa.
 
kibonde ni **** tu hajui uandishi wala hawezi kuchambua mada yeye akalie sifa tu za kulazimisha kwa kujifanya anajua kila kitu. Kuna siku nilimsikia kabisa akitukana akiwa hewani na bado hata jukwaa la wahariri au vyombo vinavyoshughulikia maadali ya vyombo vya habari navyo vilikuwa kimya kabisa. Pale clouds hana muda mrefu kwani tayari ameshazeeka. List ya waliozeeka ni nyingi akiwemo gerald hando, paul james na wengine ambao wameshavuka umri wa kufanya kazi clouds.
 
Unapokuwa huna uwezo wa kujikwamua kifikra na kiutendaji baadaye utakuwa kibaraka kama Kibonde. Ila ndugu yangu ritz; Sugu, Mbowe, Lema, Selasini kiingereza wanajua vizuri, Komba hajui kabisa, Azzan sina uhakika, Lukuvi hawezi na wala hataki kujifunza bahati mbaya hata anakotoka ISIMANI kimaendeleo wako nyuma sana tatizo ni yeye hana ubunifu.
 
Kibonde kweli ni pumba! Lakini kuwa mbunge wa Tanzania mpaka ujue Kingereza katiba ndio inasema hivyo? Hawa ni baadhi ya wabunge hawafahamu Kingereza.Lema, Komba, Sugu, Azzan, Selasini, Mbowe, Lukuvi


wee ritz huna hakika na habari zako,sugu kakaa uk miaka mingi,unasemaje?
 
Wengi humu mnasukumwa na hisia tu kwa vile Kibonde anasadikika kuwa ni pro-CCM. Zaidi ya hapo hamna hoja yenye substance. Ni matusi, kejeli, na kashfa tu. Mngeielewa vizuri tasnia ya habari wala msingetokwa na mapovu.
 
nilitaka kushangaa ishu ya kibonde NN usichangie yule jamaa ni kama mtu wa nyota usipozifuata hazikuongozi ila ukizifuata zinakuongoza kwa hiyo sasa na kibonde ndivyo hivyo..akili kumkichwa na hayo tu..
 
Back
Top Bottom