self defence
Wewe kweli ni KakaJambaziYani huo ukiwambia wavae mabomu, na kuwahakiskishia wazazi wao watapewa madolari, kazi ndogo sana.
Dada yng wamenikumbusha mrembo wangu Wa kizazibari mtoto Wa Kwahani karibu na Masksni ya Amani!
Wewe kweli ni KakaJambazi
Lione kwanza!!!
ahahhaha.
sa mbona haukumleta nyumbani?
Hawezi kulima na kula ugali Wa Dona!
Ila alikua bomba Huyo yani taa kabisa ya ndani!
tungemfundisha tuu..polepole angezowea
Ni Kweli dada yng! Ila tulitengeneza story ndefu sn na mikasa kibao Lkn Bado Tulikua strong kweli Kweli!
Ngoja ntaiandika Hiyo story niipost hapa tupige soga kidogo!