Enzi zangu nikiwa SKULI ZANZIBAR

Enzi zangu nikiwa SKULI ZANZIBAR

7.jpg

Enzi zangu nikiwa skuli ZIWANI ZANZIBAR

kama ulikuwa na umri huo ndo hali yenyewe hiyo saa hizi si ndo utakuwa balaa?utafanya hata tushindwe kuku pm kuomba appointment,kwani,usipomudu gharama si utakula kichapo?
 
Kibunango nawe, mbona wantovuga hadharaniiii
Kwani visiwa va Unguja na Pemba si ndiyo vinatengeneza nchi yas Zanzibar
Unapotaja Zanzibar unatakiwa kuwa makini, kwani kijumla jumla mtu atafahamu unazungumzia Unguja, unless otherwise useme nchi ya Zanzibar ndio utamahanisha Unguja na Pemba

Aidha mji mkuu wa nchi ya Zanzibar ni Jiji la Zanzibar, ambalo Kitanganyika linajulikana kama Mkoa wa Mjini/Magharibi. Sasa kwa kumbukumbu zangu skuli uliyoitaja hapo juu ipo Pemba na sio Unguja.
 
Ahsante kaka yangu kwa mama mwingine Kibunango
 
Last edited by a moderator:
Dada yng wamenikumbusha mrembo wangu Wa kizazibari mtoto Wa Kwahani karibu na Masksni ya Amani!

Du, Ntuzu:8749441, huyo mrembo wako alikudandanya sana, yaani kukwambia kwahani kuwa karibu na Amani ni sawa na kukwambia Manzese na Kigamboni, alikudanganya sana!
 
No! Pale Kwahani kuna maskani kubwa ivi km unakwenda kwa alinatu!
 
Kwahani ya wapi Mkuu ,Baja au Bondeni?

Kama unakwenda kule Kariakoo! Sio uwanja Wa farasi! Kule Sijui ndio baja Au ndio bondeni! Ila km unatakoa karibu Na Mzee Salehe Madawa km unaeleke Kariakoo kwa kupitia ndani ndani kuna maskani iko katikati pale!
 
Ni Mdorianini kwa Ali Nyau!
 
Back
Top Bottom