Enzi zangu nikiwa SKULI ZANZIBAR

Enzi zangu nikiwa SKULI ZANZIBAR

Zindunaaaa. Nakuja mue na lazima nitie timu CCM. Nisipoenda nitasutwaaa. Nitoke hapo niende Gymkhana.

Naskia kuna 6°. Hapo napo nitie timu.

Mwisho wa siku niende Bwawani nikashangae -------.

Nimepamisi kweli Zenjibar.
 
hiyo michezo ni michafu kupita kiasi, ni ushetani.nilishacheza, hapa nilipo mimi ni sensei wa shotokan karate yaani black belt, lakini nilijuta kuingia.
 
Funguka. Bila hiyo nakupa za uso fasta.
 
Funguka. Bila hiyo nakupa za uso fasta.
what do you mean unanipa za uso? tafuta uwanja tucheze comite, weka na kiingilio watu waje kuangalia. i am not kidding bro, mimi ni black belt kwenye hayo madudu, ila nilikuja kujua kuwa yana asili ya ushetani ndani yake na hayasaidii kitu chochote katika maisha.
 
Mie 6. Ila nahisi nishaanza kupasahau. Mda sijaenda.

Bado napapenda sn! Hasa kwa swala la usalama! Kule unaweza tembea masaa 24 bila vibaka kukubughuzi! Lkn kwa Dar, ni Hatari!
 
what do you mean unanipa za uso? tafuta uwanja tucheze comite, weka na kiingilio watu waje kuangalia. i am not kidding bro, mimi ni black belt kwenye hayo madudu, ila nilikuja kujua kuwa yana asili ya ushetani ndani yake na hayasaidii kitu chochote katika maisha.
Am a woman.

Ushetani gani?
 
Bado napapenda sn! Hasa kwa swala la usalama! Kule unaweza tembea masaa 24 bila vibaka kukubughuzi! Lkn kwa Dar, ni Hatari!

What I really love about Zenji other than usalama kama ulivyosema ni ukarimu. How they treat people. Umefanya nizidi kupamisi.
 
Back
Top Bottom