Niko zangu JAMBIANIIII
Jambian ipi hyo mchangani?
Niko zangu JAMBIANIIII
What I really love about Zenji other than usalama kama ulivyosema ni ukarimu. How they treat people. Umefanya nizidi kupamisi.
Kwa ukarimu Mwana wane ni noma! Nawakubali sn! Nilifanyiwa ukarimu ndo Mara yng kwanza kufika kule nikatekwa Jumla!
Jambiani wapitia mwanakwerekwe Au Mwera?
Mi Nimekaa sn huko!
But as days go by Zenji panabadilika.
Nili handle cases pale DPP mbona niliogopa!!! Ilinifanya nihame upande wa Criminal Law kabisa nijikite kwenye Civil.
Kuna uhalifu wa chini kwa chini huwezi amini!! Dah.
Hiyo unakula njia ya makunduchi - kwerekwe, fuoni, kibele, tunguu, huyooooooooooooooo
Duh Mwanangu umenikumbusha mbali sn!
Nilikuwa naumiza kichwa Jambiani unapita wapi?
Sasa ndo picha imenijia. Ni njia ya Paje.
Kumbe baado mtoto kwani namuona Saidi Mwema kushoto![]()
Enzi zangu nikiwa skuli ZIWANI ZANZIBAR
Duh Mwanangu umenikumbusha mbali sn!
Inaonekana ugaidi mnafundishwa mkiwa bado wadogo.
Kama ndio hivi, sikuwezi![]()
Enzi zangu nikiwa skuli ZIWANI ZANZIBAR
![]()
Enzi zangu nikiwa skuli ZIWANI ZANZIBAR