Enzi zangu mie Karucee

Enzi zangu mie Karucee

hongera zako kama ulikuwa hatari kwa kudunda mi nakumbuka hadi leo tactick aliyokuwa annifundisha mwl wangu ya kukaba see man see ball,ila kwene kudunda mimi sikuwa mzuri ila kwenye kumalizia tu ndo utantaka wakati naanza anza nakumbuka sheria zilizokuwa zinanipa tabu ni kila saa nilikuwa nawalk na ups and down lzilinitesa sana akini nikakomaa mpk nikajua nakumbuka pia three men weaving nilikuwa nacheza vizuri na block dah mpk somtimes nikawa najishtukia ukija vibaya lazima nikupige tawi,

Ha ha ha haaaa got you son!!!!!

Piga tawi, futa, dazle, good hands!!!!!!!!

Ana fake unamtazama tu akinyaynyuka ndo patamu kwa tawi!!!!!
Kama nakuona una walk halafu ukiambiawa unabisha na kupiga ball chini kwa nguvu!!!!
 
Mimi katika football nikiona wamejipanga mstari najua ni penalty. Sijui chochote kingine. Team yangu ni Arsenal, but msimu wote sijacheki mechi hata moja. lol. Ukiskia ushabiki uchwara si ndo huu.

Pole sn
 
Mkuu kuogelea najua kidogo (sio mmoja wapo wa wataalamu) ila hamu ndio huwa inakuja na kukata kama umeme wa Tanesco. Basketi niliwahi tu kudunda dunda wakti niko advance ila baada ya hapo.. Mimi na soka soka na mimi na michezo mingine ya kimazoezi.
pamoja mkuu yote kheri ila jitahidi upendee kuogelea ni raha basket unaweza kupotezea ukijua mpira tu inatosha
 
Naona mnaucheza mchezo nje ya uwanja kama Mgambo walichomfanya Yanga eeh!!!

Ikibidi nitang'ata kama Tyson kama mbinu ndio hizo. Afu Sweetheart Karucee unanigeuka ivi ivi?

Utakula ban ya Mwaka mzima!
 
Last edited by a moderator:
Hilo Ndo la muhimu Mkuu!

Yani lazima utraine sn 3 points na Ukiwa pale mbele ya D ya maadui wakikusahau Kidogo tu ukapewa pasi! Yani ukiinua kwapa tu Kidogo lazima upige 3 points ile ya kugusa nyavu tu!

Teh Teh Teh

Ktk mpira Wa miguu Nilikua napenda kucheza beki Wa pembeni kushoto! Nilikua nacheza vzr sn! Hawa mawinga wanaotambaa na mipira kwangu mie ilikua enzi hizo ni mikasi tu! Nimekua na Makovu sn mapajani kwa juu kwa ajili ya kutereza kupiga mkasi!
hahaha i can seet that mimi strength zangu ziko mikononi so mcichezo mingi inayouhusui mikono,nipo vizuri mpira nacheza namba 1 mpk leo huwa nacheza mara nyingi week end na huwa naenjoy sana hasa tukishambuliwa kuonyesha ujuzi
 
Sio kwamba sijui mkuu.. ila experience yangu ya kwanza nilijidai najua nikarukia kwenye maji.. kidogo niondoke.. That experience has been haunting me nikifikiria swimming.

Pole Mkuu!
 
Maji ya pool ni machache sn! Yani huwezi kwenda mbali sn!

Kwa bahari Ndio poa! Yani unaingia ndani ya bahari mpk Maji unayaona yanakua meusi na mazito! Alafu ukiamua kuzama chini unakwenda kuibukia kule!
mhh nitakza buti hapo.
 
Naona mnaucheza mchezo nje ya uwanja kama Mgambo walichomfanya Yanga eeh!!!

Ikibidi nitang'ata kama Tyson kama mbinu ndio hizo. Afu Sweetheart Karucee unanigeuka ivi ivi?

yaani ukiskia torn between choices ndo kama hapa. Huku sweetheart wangu, huku mwalimu wangu mpendwa.
 
Ha ha ha haaaa got you son!!!!!

Piga tawi, futa, dazle, good hands!!!!!!!!

Ana fake unamtazama tu akinyaynyuka ndo patamu kwa tawi!!!!!
Kama nakuona una walk halafu ukiambiawa unabisha na kupiga ball chini kwa nguvu!!!!
hahaha kama ulikuwepo vile yaani nilikuwa nachukia sana alafu nilikuwa sijioni kama natembea bt nidhamu ilinijenga sana sikuwa napiga mpira chini nilikuwa nabaki na maumivu yangu moyoni tu na kuprromise kutofanya tena. walking
 
Yaani hiyo mkuu imetutesa wengi sana nidhamu ilikuwa ukipiga ball chini tu push ups kumi fasta!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom