Hakuna binadamu asiyependa ujiko nakupa mfano mmoja tuUnapenda ujiko sana
yaani ukiskia torn between choices ndo kama hapa. Huku sweetheart wangu, huku mwalimu wangu mpendwa.
lols. Sweetheart ulikuwa mtundu kimya kimya.
ndo maana wewe ni kaka yangu
ahahahah
Lazima ufundishwe ili Yule Shemeji yng Fulani akileta zake atashangaa unanoa mikono tu! Hung! Hwang!
Umenikumbusha best wangu Leeford Simba. may he R.I.P.
Nitakuja but sio leo hun.
hapo sasa
Many KISSES and hugs!!!!!!!!!
Interest declared. Ntakufunza kale kamchezo (karate) ile akizingua umpe za chembe kabisa apunguze makeke
Rita,mkuu wa wilaya, kasisi au nini kwa mfano!!!!
Be ware of tindikali!!!
Ha ha haa hiyo kama haijakukuta huwezi jua nini inafanya mkuu yaani jamaa alikuwa anatukimbiza mlimani asee mkifika sehemu moja kulikuwa na tank kubwa sana la maji hapo ndio mnapumzika sasa na hiyo pumzika ndio hiyo mwendo wa bata na mwendo wa mamba, mi push ups kibao!!!!!!