Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
hahaha i can seet that mimi strength zangu ziko mikononi so mcichezo mingi inayouhusui mikono,nipo vizuri mpira nacheza namba 1 mpk leo huwa nacheza mara nyingi week end na huwa naenjoy sana hasa tukishambuliwa kuonyesha ujuzi
Teh Teh Teh
Unajua Mimi wakati Wa makuzi yng mpk huu ujana tulikua tunashindana sn Vijana ktk michezo mbali mbali! Yani tulikua tunajenga miili yetu kimazoezi kuanzi miguu etc! Yani kila kitu kwa ujumla! Na Ndio Maana ktk michezo mingi tulikua tunaweza na tulikua vzr tu! Kwasababu km mazoezi ya viungu hayo Ndio tulikua tunafanya sn! Msamba, mara Sijui ujikunje hivi Au sarakasi basi Yani ilikua mtu lazima uwe fiti! Na ktk game Au mechi tulikua tunafanya vzr sn!
Kwakweli ila kwa Dar ni kubaya kuishi! Vijana hawashiriki michezo vzr