Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
sure mkuu ila nahisi pia kwa playmaker akiwa anaweza kupiga 3 points anakuwa mzuri zaidiMkuu safi sn! Kwa kifupi huo mchezo ukifanya laziest sn na ukijituma sn na kuupenda basi kila kitu huja chenyewe! Yani kuna mambo unaweza ukafanya Ukiwa uwanjani ukiambiwa rudia ulichofanya lazima ushindwe!
Kwa mfano Ukiwa Playmaker lazima uwe mwepesi na akili ya haraka sn na maamuzu ya haraka! Yani ukiona upenyo Kidogo akili na mwili na mikono lazima ifanye kz kwa haraka na kwa nguvu na kasi!
Aise raha sn!
Wakuu asante sana.
Sina hamu ndugu yangu... nikikumbuka yule Mtoa roho alivyoninywesha maji mengi ivo tena kinguvu bila idhini yangu.. Hamu inakatika kabisa.
Kaka ungeenda baharini ni rahisi kuliko unavofkiria
pole kwanza kwa kutojua kuogolea mkuuvipi basket ulishawahi kucheza pia??
maji ya baharini huwa siyaonei sana kama ninavyoyaonea ya swimming pool ile chumvi chumvi inanitesa sana,itabidi nijitahidi kwa hilo aisee.Jamanj bahari yote Hii huku pwani na Z'bar mtu unashindwa kufahamu kuogelea?
Mi nilipotika bara Yani zile Siku za weekend Nilikua nakwenda kujifunza kuoga baharini mpk nikawa fiti kabisa!
Yani kwa ninavyo weza kuoga km ajali inatikokea na hakuna vifaa vya kujiokoa basi ntakua naoga pembeni ya tukio kwa muda mrefu mpk waokozi watakapofika!
wewe na Ennie siwaelewagi atiiiii
pole kwanza kwa kutojua kuogolea mkuuvipi basket ulishawahi kucheza pia??
sure mkuu ila nahisi pia kwa playmaker akiwa anaweza kupiga 3 points anakuwa mzuri zaidi
Ee waaaa. Adhabu ya kuchelewa ni kukimbia mpaka Mtoni Marine.
Hilo Ndo la muhimu Mkuu!
Yani lazima utraine sn 3 points na Ukiwa pale mbele ya D ya maadui wakikusahau Kidogo tu ukapewa pasi! Yani ukiinua kwapa tu Kidogo lazima upige 3 points ile ya kugusa nyavu tu!
Teh Teh Teh
Ktk mpira Wa miguu Nilikua napenda kucheza beki Wa pembeni kushoto! Nilikua nacheza vzr sn! Hawa mawinga wanaotambaa na mipira kwangu mie ilikua enzi hizo ni mikasi tu! Nimekua na Makovu sn mapajani kwa juu kwa ajili ya kutereza kupiga mkasi!
Lazima nijipendelee! Coz nikidundwa utapata wapi Mwalimu Wa Kisukuma? Au Ole atapata wapi swahiba mwingine?
Lazima tushirikiane kumdunda Tized
maji ya baharini huwa siyaonei sana kama ninavyoyaonea ya swimming pool ile chumvi chumvi inanitesa sana,itabidi nijitahidi kwa hilo aisee.
Mimi katika football nikiona wamejipanga mstari najua ni penalty. Sijui chochote kingine. Team yangu ni Arsenal, but msimu wote sijacheki mechi hata moja. lol. Ukiskia ushabiki uchwara si ndo huu.
Huwaga sijibu pm.
View attachment 148714Enzi zangu hizo. Hapana chezea 3 point zangu pamoja na ufupi wangu.
utafiti, Mndengereko, Don Mangi, Red Giant, Desert Storm, Ntuzu, Mr Rocky, Tized
Nitaweza tenaaaaa?
Ndo ujue ni "members only"!!!!!
Jamanj bahari yote Hii huku pwani na Z'bar mtu unashindwa kufahamu kuogelea?
Mi nilipotika bara Yani zile Siku za weekend Nilikua nakwenda kujifunza kuoga baharini mpk nikawa fiti kabisa!
Yani kwa ninavyo weza kuoga km ajali inatikokea na hakuna vifaa vya kujiokoa basi ntakua naoga pembeni ya tukio kwa muda mrefu mpk waokozi watakapofika!