Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

Kumbe nishakuwa mzee sasa
div 3 pts 25 , six 3 pts 10,
shahada gpa ya 3.3
 
olevel-dvn 3 pnt25,Alevel-dvn 1 point 7,chuo(udsm)shahada gpa 2.6,mnaita Pass sijui!nataka kusoma postgraduate diploma2012/13
 
mie nilikimbia form two tu nikasajiliwa Kajumulo/Sigara ..safari ya brazil..kisha Rayon ya Rwanda..hapa no school..hahahaha
 
o-lvl div3 point 21 (2004 benja), a-lvl div 2 points 12(2007benja), university g.p.a 3.5..2010......
 
Div I, 16 pts, Forodhani Secondary, 2004
 
Watoto mmeamkaje leo,kumbe ndio maana thread nyng za kitoto kweli jf imeingiliwa..yaan form iv.2007 upo humu?

hujaona kuna uzi wanakumbushana tuisheni walizokuwa wanakaririshwa hesabu?
 
Ha ha ha ha umenichekesha kweli kazi ya ulinzi?? Koma kabisa wewe dharau zako pelekea kweni tena unikome kabisa manina zako

dada samahani kuna thred huwa unanivutia kwa mchango wako uliojaa uelewa na busara. Nahisi hapa umeteleza tu. Siyo siri nimejisikia vibaya nikikumbuka huyu ni DA niliyemzoea!
 
nilipata one ya 14. sasa hivi ni fundi wa miili ya binadamu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…