Tanzania ni nchi ya furaha video iko hapo juuWimbo upi?
AhahahahhhhHivi ile pale ni wallet, pochi ama handbag?
[emoji23][emoji23][emoji23]Bugaluu na Afro sasahivi ukitupia hizi code unaweza pata kesi ya uchochezi..
Hizo Zilipendwa,Mubashara kabisa View attachment 617281
HahahahaBugaluu na Afro sasahivi ukitupia hizi code unaweza pata kesi ya uchochezi..
Mwenge ilikuwa silent inn
Ni kweli mkuuKabla iliitwa Mpakani Bar na Sam Nujoma Road iliitwa Mpakani Road
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] 3 kwa 1
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Natamani nimuone mkulu akiwa kwenye hilo poz.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umesahau kibanda (nywele ndefu au Afro). Laizoni ngazi sita si nne za BataWakati huo brother alikuwa UDSM basi akija home bugaluu na raizoni shati la kubana
Yule alikuwa mshamba mkulima tu yule alikuwa hana uwezo wa kupiga hizi pamba..labda waziri mkuu unaweza kuipata!Natamani nimuone mkulu akiwa kwenye hilo poz.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu silent c ya juz haina hata more dan 20yrs nadhani rungwe ndio ulikuwa maarufuMwenge ilikuwa silent inn