Enzi za slim fit

Enzi za slim fit

Zingatieni kichwa cha habari kwenye hio 'screenshot'....yaani mama zenu kwa hao jamaa walikuwa hawafurukuti!
 
Enzi hizo gonjwa hatari ilikuwa ni gono tu basi nimepiga zangu juu pima chini kadiria bugaloo hilo chini Raizon ngazi tatu afro limenyanyuka kinang'aa balaa
tunaenda disko ni mwendo wa ngoma za kikongoman tu enzi hizo zaiko langalanga katika ubora wao Wenge musica bcbg duh! Yaani umenikumbusha mbali sana
 
Back
Top Bottom