Dogo "kajaladia" kweli kweli...
Kwa kuiangalia umeiona ni mibaya hiyo miguu?Au unamsemea mke wake mwingine??[emoji15]Huu utani kama ukweli juu ya dada zangu sijaupenda mkuu!
tunaheshimiana sana.
Mbona mi sisemi mkeo ana miguu mibaya!???
Hahahaha yani nimecheka hatarivikaptula vya jinsi ..
ha hahaHahahaha yani nimecheka hatari
Kwa kuiangalia umeiona ni mibaya hiyo miguu?Au unamsemea mke wake mwingine??[emoji15]
Wewe ni mtesi wangu bila shaka...Me no say nothing hahahah... [HASHTAG]#jiweGizani[/HASHTAG]
Wewe ni mtesi wangu bila shaka...
MkuuNipo kaka ila nilitoweka kidogo