Enzi za kuusunda!

Enzi za kuusunda!

Vikao vya mwaka ndugu yangu vya mambo yetu yale [emoji23] [emoji3]


Aaah kama ni haya mambo basi najua huwezi kuaga...wapinzani wasije kufanya vita angani! Au ile ajali ya jamaa wa mbagala mlihusika nini!???
 
Huu utani kama ukweli juu ya dada zangu sijaupenda mkuu!

tunaheshimiana sana.

Mbona mi sisemi mkeo ana miguu mibaya!???
[emoji15] [emoji87] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mimi nina bahati mbaya sana, shule nilizosoma hazikuwa na fimbo kwahiyo hayo mambo ya kuusunda nimeyakosa kabisa, wenzangu mlifaidi sana utoto.
 
Mimi nina bahati mbaya sana, shule nilizosoma hazikuwa na fimbo kwahiyo hayo mambo ya kuusunda nimeyakosa kabisa, wenzangu mlifaidi sana utoto.
Haya ni mateso sio kufaidi hasa ukijulikana umeusunda maji utaita aaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom