Bulesi unatumia nini mpaka ushindwe kuiona hiyo picha?
window 95
window 95
![]()
invisible akiwa amepozi na suruali nusu.mia
mbona hiyo picha ni ya mwaka 1952?
![]()
invisible akiwa amepozi na suruali nusu.mia
Mbona kama kwenye picha kwa juu kabisa kuna maandishi ya blue "figganigga" yamekatwa!! Mkuu isije kuwa ni wewe huyo...
Lol! Kumbe ndo yuko handsome hivi, yafaa agombee urais!
Afu sio suruali nusu, amevunjika mguu kavaa hogo la haja. Mbele hapo angalia magongo ya kutembelea.
Hahahahaaaa Bann yanini wakati anakumbushwa enzi zake, halafu inafaa ye ajipige bann kwa kuvaa suruari nusu mguu