Je serikali imebadili uniform za askari polisi kimyakimya?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,452
Reaction score
10,034
Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa Rais wa awamu ya tano aliagiza askari wa kike wasivae sketi na zibadilishwe wavae suruali.

Yalikuwa ni maamuzi sahihi sana hasa kwa trafiki wa kike ambao sketi kuna muda zilikuwa zinawapa shida kwenye utekelezaji wa majukumu wao.

Sasa awamu hii, naona siku hizi askari polisi wote wanavaa jungle green.

Zile uniform zao za kaki ni kama hazipo katika majukumu yao ya kawaida ya kila siku.

Je serikali imebadili uniform za polisi zile kaki?

Wajuzi mje mtujuze sie wananzengo.
 
Kijan ni ishara ya hatar kwa polis yaan yupo vitan si umeona nch ya moto
 
Tayari muda wowote na jungle inayovaliwa kipindi hiki sio ile ya kitambaa ni ya mfumo wa kombat
 
Back
Top Bottom