figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,858
- 63,432
invisible akiwa amepozi na suruali nusu.mia
Hahahahaaaa Bann yanini wakati anakumbushwa enzi zake, halafu inafaa ye ajipige bann kwa kuvaa suruari nusu mguuMkuu utapigwa ban sasa hivi. Nitarudi baadae kidogo
mia bwana ogo siku hizi ni suruali..
Ana protection gani kwani?Kumbe Invisible anataniwa kirahisi hivi? sikujua...
Mbona kama POP?
Mbona mimi siioni, wamekwisha itoa hiyo picha nini?
wewe ulishaona pop ya kwenye kiuno? mi sijui muulize invisible. Mia