Pasteur Bizimungu aliyekuwa Rais wa zamani wa Rwanda amekuwa sio mtu wa kusikika sana kama wastaafu wengine.
Hapa akiwa na makamu wake (Paul Kagame) enzi hizo
View attachment 3707437
Zote takatakaPasteur Bizimungu aliyekuwa Rais wa zamani wa Rwanda amekuwa sio mtu wa kusikika sana kama wastaafu wengine.
Hapa akiwa na makamu wake (Paul Kagame) enzi hizo
View attachment 3707437
Peter karegeya!!namna walivyomtoa uhai! very bad!!..nyuma yao namuona Gen.Kayumba Nyamwasa.
..Bizimungu alikuwa Raisi boya, kwani mamlaka yalikuwa kwa Kagame.
Hapa imetembea CODE MZEE BABAKagame haruhusu hiyo!!
Unaamini kwamba huyo Bizimungu aliachia kiti kwa hiari yake au!!?
so what gentleman? 🐒Pasteur Bizimungu aliyekuwa Rais wa zamani wa Rwanda amekuwa sio mtu wa kusikika sana kama wastaafu wengine.
Hapa akiwa na makamu wake (Paul Kagame) enzi hizo
View attachment 3707437
Mbona inajulikana tangu zamani!so what gentleman? 🐒
Mtoto huyoKagame haruhusu hiyo!!
Unaamini kwamba huyo Bizimungu aliachia kiti kwa hiari yake au!!?
Kuna namna nyumbu za jf zimechanganyikiwa, sielewi elewi baadhi ya mada zao ujueKagame ni rais wa Rwanda kabla hata kikwete hajawa rais wa Tanzania.
Na mpaka leo kikwete amestaafu ila kagame bado ni rais wa Rwanda.
Imagine mstaafu wa miaka mingi iliyopita bado asikike tu
JK ni political scientist na hao wengine ni political wrestlers hawawezi kufanana kabisa kwa chochote na JK 🐒Mbona inajulikana tangu zamani!
A shadow president na makala yake ilikuja mwaka 2013 ,member anaitwa hutaki unaacha!
Baada ya plan A ya Membe kushindwa ikaja plan B ndio hii iliyopo,japo nasikia nayo imeanza kuwa shubiri kwake!sijui kama ni kweli au uongo!
Jk yeye ana akili,sio za ku force madaraka kama Tolu!
Tulipe Kodi ndugu zangu kwa maendeleo ya Taifa!
Kuna taarifa za wanaharakati/wachukia nchi kua JK hatunae,zimeanza jana,so hapa huyu kichwa maji anataka watu watiririke kwa mrengo huoso what gentleman? 🐒
Mapigwa miti kwenye makorido ya Lumumba yamechanganyikiwaKuna taarifa za wanaharakati/wachukia nchi kua JK hatunae,zimeanza jana,so hapa huyu kichwa maji anataka watu watiririke kwa mrengo huo
Na anaweza kuleta mambo nywinywinywi?Kagame haruhusu hiyo!!
Unaamini kwamba huyo Bizimungu aliachia kiti kwa hiari yake au!!?
