Nakumbuka mashindano ya kujamba niko f. 3.tulikuwa tunakulamaharage changanya na sukari na ugali mwingi mkitoka prepo tunakula kiporo tena cha beans ,kwenye saa 4.tunatulia kwenye cube mtu akitoa ushuzi muhimu ni ile sauti na lazima mwingine ajibu.kulikuwa na milio kama ya trekta,ndege ,filimbi ...
Mmmh! Hapo hamkurudia tena...nimekumbuka kowak girls nikiwa 4m3 jamani shule za masista cku hyo kaja kukagua vyoo na bafu kakuta m2 kaacha pedi(Always)bafuni kuuliza wote kima alichofanya akakusanya zote akaweka kwenye ndoo za maji akakoroga ikawa nyekundu then 2kapanga mstari kunawa then unapokea kikombe cha uji unywe hapohapo ukimaliza ndo 2kanawa 2kaenda claz walai ctakaa nisahau khaa

Hii thread imenifanya nimejua watu kwa majina yao kbsa me enzi hzo Kiranja wa bweni unamwaga maji then Form one wanatambaa wanadeki nkiamka naweka kikombe dogo anaenda kuchukua uji

Mmmh! Hapo hamkurudia tena...

Mi nilikuwa nashangaa sana,Tanga tech siku ya vyoo vya shimo kuzibuliwa,yanatolewa mawe,magunzi,sahani,vijiko,vikombe n.k,sasa sijui watu wanakula msosi na kunywa chai chooni au hivi ndo vifaa alternative vya kutawadhia,na cha ajabu zaidi ukutani kuna maandishi,herufi zimeundwa vizuri sana kwa kinyesi!