Enzi Hizoooooooooo RIP

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,055
542347_469887056405791_611471548_n.jpg
 
Hivi siku hizi kuna vipaji kama walivyo kuwa hao?
Akina Sunday Manara nk.
 
Zamoyoni mogela akimtambulisha method mogela,huku hamis gaga husen masha wakiangalia.
Huyo mmoja ambaye sura yake imetokeza begani kwa Zamoyoni Mogella na Khalfan Ngasa a.k.a Babu. Baba wa Mrisho Ngasa. mwingine ndio simkumbuki.
 
Enzi hizo mpira mnausikilizia redioni kwenye duka la mangi ilikuwa raha sana. Unamsikia mtangazaji ..... Zamoyoni anakwendaa....anakwendaaa... Zamoyoni.......Zamoyoni.......anakwendaaaa....anakwendaaaa.anapiga chenga pale Zamoyoni..... anakwendaaaa.anapiga shuti pale gooooooooo...laaaaaa.ananyaka vizuri pale golikipa. Watu walishashangilia zamaaani wanarudi kwenye benchi wamenyweaaaa...
 
Back
Top Bottom