EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,348
nimekuelewa.....
sasa sijui wataelewana!
Kama hawataelewana watafundishwa tuu. Chezea pesa weye.
Ila kama ni wasichana, wakikua hawatachuna sana.
nimekuelewa.....
sasa sijui wataelewana!
ha haaaa, ni kweli siku hizi tumechanganyika sana.....Kama hawataelewana watafundishwa tuu. Chezea pesa weye.
Ila kama ni wasichana, wakikua hawatachuna sana.
mi nimeongelea enzi za bongo flava, hizi nazo ni bongo flava rafiki?Hizi ndio enzi nazo? Mbona ni juzi tu?....hizi nazo itakuwaje?
Orchestre T.P. O.K. Jazz Live Chez "Un-Deux-Trois" A Kinshasa (1977) - YouTube
rafiki FP kuna mtu hapa mwaka jana alianzisha uzi wa jinsi anavyokereka anapoenda kujirusha club kwa raha zake na wanaishia kupiga nyimbo za Bongo Flava. Watu wengi wanaona hivyo kwamba baadhi zinafaa kusikiliza tu hazikupi mashamsham ya kupanda kwenye dancing floor na kuanza kufanya vitu vyako. Ila huyu Diamond kama atatulia basi future yake iko very bright. Huu wimbo wake unaweza kupigwa mahali popote duniani na watu wakaufurahia kupanda kwenye DF na kuanza kufanya vitu vyao.
Ungerekebisha title ya thread basi kama focus yako ni bongo fleva rafiki..........umetuchanganya maoldskul hapa!mi nimeongelea enzi za bongo flava, hizi nazo ni bongo flava rafiki?
pole sana rafiki....Ungerekebisha title ya thread basi kama focus yako ni bongo fleva rafiki..........umetuchanganya maoldskul hapa!
Umeona eeh!Hahahaha
Usimkanyage mwenziooo...
Poa sana dihaUmeona eeh!
salama lakini rafiki?