Enzi hizo

Enzi hizo

EMT ulikuwa darasa la ngapi wakati Kwanza Unit iko kwenye chati?

Hii ilinipita, ila hiyo ya Msela ilitamba sana kitaa. Kila mtu alikuwa anadai ni msela.

[video=youtube_share;Su61Y9ictVs]http://youtu.be/Su61Y9ictVs[/video]
 
Ukilinganisha na miziki ta sasa hivi hadi unakosa hamu ya kuwasikiliza Mastar wasasa maana theme ni mapenziii tuuuu
umeona eeeh!
utafikiria hakuna mambo mengine ya kuimba.....
hivi wangekuwa wanaonyana kuacha huo unyoka na mastarehe ya ajabu si wangekuwa wanafanya la maana sana?
mapenzi wameshayapromote na watu wameshayajua, tunataka kusikiliza na vingine
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii ilinipita, ila hiyo ya Msela ilitamba sana kitaa. Kila mtu alikuwa anadai ni msela.
Du!
wewe nawe unaingia kwenye kundi la kuniamkia, hata hii!!!!
namvutia kasi NN naye aingie kwenye kundi hili
 
Probably ni kutokuwa creative au ku=commercialise Bongo Fleva.

Kama hii siyo ya zamani, lakini mtu huchoki kuisikiliza

[video=youtube_share;1o-bqzV-RTA]http://youtu.be/1o-bqzV-RTA[/video]
huyu jamaa nilikuwa namkubali sana.... RIP
yaani nikisikiliza nyimbo zake ni kucheka tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sijambo, naomba pesa nikanunue peremende.
nikumbushe kesho nikuletee peremende, pesa sitoagi kwa watoto, lol!
ha haaaa, nimekumbuka wanangu wakipewa hela na mtu hawapokei, wanasema mama anasema watoto hawapewi hela
 
Mh! Ngoja watakapo kwenda sekondari na kukutana na wale wa kutoka Moshi ambao muda wote class wanaongelea dili za pesa tuu.
 
mmmmhhh! wangoni deal za pesa zinapanda kweli!
sijawahi sikia kabisaaaaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wangoni wanakaa Moshi siku hizi?
wangoni tupo kila sehemu aiseee....
siku Ngwea alipoRIP katika kugoogle nikakuta wanasema ni msanii aliyetokea Dodoma, nikajua yawezekana ni mgogo au kabila jingine la huko.... then nikasikia atazikwa morogoro ambapo babake kazikwa, na mamake anaishi huko...... nikajua kuzikwa ni popote....
leo namsoma Millard Ayo anasema Ngwea ni Mngoni toka Songea......:smash::disapointed:
sasa huoni wangoni tunaweza kuwa anyone? lol!
 
Wangoni wanakaa Moshi siku hizi?
ha haaa, nilirudi kusoma na kujaribu kulielewa hili swali lako, kumbe ulimaanisha hao watu wa kutoka moshi kuwa ni wangoni!
mimi nilipokujibu nilimaanisha kuwa hata hao wachaga wakiongelea deal za pesa, wanangu sababu ni wangoni hizo stori hazitapanda, kwa hiyo hawataelewa hilo somo.....
 
Yea, atakuwa alifariki akiwa kwa ancestors wake huko South.
 
ha haaa, kwa hyo lile swala la kuzikwa huko ingekuwa poa tu, si yupo home? tena originale......
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ha haaa, nilirudi kusoma na kujaribu kulielewa hili swali lako, kumbe ulimaanisha hao watu wa kutoka moshi kuwa ni wangoni!
mimi nilipokujibu nilimaanisha kuwa hata hao wachaga wakiongelea deal za pesa, wanangu sababu ni wangoni hizo stori hazitapanda, kwa hiyo hawataelewa hilo somo.....

Nope. Nilimaanisha kuwa wanao wakianza kwende sekondari watakutana na wale watoto wa kiboriloni ambao class huwa wanaongelea dili za pesa tuu.
 
nimekuelewa.....
sasa sijui wataelewana!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom